kwa walala hoi tu!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa walala hoi tu!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jan 19, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Petrol bado bei juu, umeme hali kadhalika, kodi ya nyumba balaa, mchele na nyama ndo usiseme, starehe nazo bei juu yaani bia, wine, soda na juice bei juu. eti kilimo kwanza wakati malori marufuku kubeba mazao ya walala hoi, Dini sadaka nazo juu hawataki salafu wanataka noti tu, Mahari nazo hatari unapigiwa hesabu kuanzia mimba hadi shule. Chadema wakiomba mkutano mpaka damu imwagike, hivi CCM itatuhujumu mpaka lini? rate ya dola nayo haisemeki. ada ya shule ipo juu utadhani unanunua shule! sasa hii ndo maisha bora kwa kila Mtanzania...
   
Loading...