Sijui mwaka 2030 itakuwaje kama sasa kwangu buku moja shida kwangu

medson jonasan

Senior Member
Jan 14, 2014
145
27
Petrol, diesel na mafuta ya taa bei juu! "umeme maji na mafuta ya kupikia hali kadhalika" kodi za nyumba balaa, Mchele na Nyama usiseme! sadaka juu wanataka noti sio sarafu! Mahari/posa nazo hatari, school fees utadhani unanunua shule, nauli ya mabasi ndo balaa! TV hatuoni hadi ving'amuzi tununue. piga mwenyewe hesabu Je hii ndo HAPPY NEW YEAR mliyonitakia 2014 au HEAVY NEW YEAR ?
 
hivi unavyodhani kuwa mwaka huo utafika ndugu ikiwa ndo kwanza tuko upili sasa (feburuari)
Petrol, diesel na mafuta ya taa bei juu! "umeme maji na mafuta ya kupikia hali kadhalika" kodi za nyumba balaa, Mchele na Nyama usiseme! sadaka juu wanataka noti sio sarafu! Mahari/posa nazo hatari, school fees utadhani unanunua shule, nauli ya mabasi ndo balaa! TV hatuoni hadi ving'amuzi tununue. piga mwenyewe hesabu Je hii ndo HAPPY NEW YEAR mliyonitakia 2014 au HEAVY NEW YEAR ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom