HAPPY NEW YEAR au HEAVY NEW YEAR? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HAPPY NEW YEAR au HEAVY NEW YEAR?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rugaijamu, Jan 6, 2011.

 1. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Ujumbe huu nimetumiwa na rafiki yangu aishie nanyumbu,mkoani mtwara.Hebu upateni na nyinyi....'petrol bado bei juu,umeme hali kadhalika.kodi ya duka juu,kodi za nyumba balaa;mchele,nyama usiseme;starehe nazo bei juu,yaani bia juice soda nazo bei juu;dini,sadaka juu,hawataki coins wanataka noti tu;mahari nazo hatari,unapigiwa hesabu kuanzia mimba hadi shule,thamani ya Tsh inazidi kuporomoka;school fees utadhani unanunua shule;Sasa hii ndo HAPPY NEW YEAR au HEAVY NEW YEAR?Haya kazi njema".
   
Loading...