SIJUI LITAKUWA SWALI GUMU

SIJUI LITAKUWA SWALI GUMU

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,895
Reaction score
2,806
Ivi nikwanini nikiwa natongoza mwanamke huwa najihakikishia nitampata na ikitokea kanipiga chini nanuna? Sasa hicho kinacho nifanya kununa ndio huwa sielewi kwanini iwe hivyo na huku ni kawaida tu kukataliwa.
 
Mmh ngoja waje wajuvi wa mambo mi nimewahi sit tu
 
Una vimelea vya kike mwanaume mwene pumbu2 hanuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom