Sijui lini nitapata mke mwema

Sijui lini nitapata mke mwema

Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.NAULIZA NYINYI MLIO OA NA KUPATA WAKE WEMA MLIFANYAJE MPAKA MKAWAPATA HAO MAANA NINAMPANGO WA KUTAFUTA MKE.

Mungu humpa mume mwema mke mwema. Anza sasa kwa kubadilika na ujiandae kuwa mume mwema then Mungu atakupa mke mwema na ujue mke mwema atoka kwa bwana.
 
Biblia haisemi chochote kuhusu mume mwema. Anayeoa ni mwanaume sio mwanamke

kwahyo kama biblia haisemi chochote kuhusu wananume wema, kwahyo unadhani wanaume wote ni wema? kwaninm wadada huwa wanapata tabu kutafuta waume wema?? according to you seemz like wanaume wote ni wema.
 
Bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.Sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.Lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.Ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .

usalit ktk mapenzi kwa kizazi hiki haukwepeki bali ww muombe Mungu akupe moyo wenye hekima na busara. Wanawake siku hiz hata umridhishe vp lakin haachi kutaman. Unaweza kuwa na pesa na kitandan uko vzr lakin ataibua kitu kingne ambacho ndio chanzo cha kukusarit....... Atakutana na Juma huko ataanza mara " yule mkaka anasaut nzurii au anakifua kizur au macho mazurii au nmeipenda six pack yake au gaden lov yake inanivutia" hawa viumbe wanabadlika kama kinyonga....... Mwombe sana Mungu akupe mke mwenye ahuen. Hujiuliz kwann wanawake wengi sana siku hizi wamezalishwa nyumban?? TAMAA
 
na nivigumu kweli kumpata mwanaume aliye mwema, nshaona wadad wengi wakisalitiwa na wanaume zao na kuumizwa mioyo..
 
Endelea kutafuta ila kua makini wengi hua wanaigiza maisha tofauti na jinsi walivyo ili upate kumuoa baada ya hapo ni majanga tupu ndugu yangu....
 
Bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.Sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.Lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.Ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .
mmh una umri gani?
 
usalit ktk mapenzi kwa kizazi hiki haukwepeki bali ww muombe Mungu akupe moyo wenye hekima na busara. Wanawake siku hiz hata umridhishe vp lakin haachi kutaman. Unaweza kuwa na pesa na kitandan uko vzr lakin ataibua kitu kingne ambacho ndio chanzo cha kukusarit....... Atakutana na Juma huko ataanza mara " yule mkaka anasaut nzurii au anakifua kizur au macho mazurii au nmeipenda six pack yake au gaden lov yake inanivutia" hawa viumbe wanabadlika kama kinyonga....... Mwombe sana Mungu akupe mke mwenye ahuen. Hujiuliz kwann wanawake wengi sana siku hizi wamezalishwa nyumban?? TAMAA

sikatai wako wanawake wanaosaliti ndoa zao, ila wengi wao wanafanya hivyo kwasababu nyinyi wanaume mmewapa reason ya kufanya hivyo, wengi ninaowafahamu mimi au ninaosoma stori zao humu mitandaoni wakatafuta ushauri, unakuta mtu anakwambia mwanaume hajamgusi mwaka wa pili sasa au kwa mwaka anasex nae mara 2 au 3 na wala hamjali kavumilia kashindwa kaamua kwenda kutafuta pumziko nje, ila wale ambao wanasaliti ndoa zao wakati ndani ya nyumba mwanaume anatimizi kila kitu ni wale tunaowaita wadada wa mujini, wapenda show off wasiotaka kupitwa mwanaume ukiingia anga hizo aandike maumivu, lakini ukweli ni kwamba wanawake wengi tunapoolewa huwa TUNATULIA
 
Walikesha wakiomba, wakamuacha Mungu awape wake wema bila kuruhusu tamaa zao za kimwili ziwaongoze.
 
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.NAULIZA NYINYI MLIO OA NA KUPATA WAKE WEMA MLIFANYAJE MPAKA MKAWAPATA HAO MAANA NINAMPANGO WA KUTAFUTA MKE.

Ukitaka kupata alie mwema lazima uwe na mtizamo tofauti
mfano wakati wenzako wanavutiwa na makalio makubwa wewe angalia kwa mtizamo mwingine je hayo makalio yamesitiliwa kwa nguo yenye staha
 
sikatai wako wanawake wanaosaliti ndoa zao, ila wengi wao wanafanya hivyo kwasababu nyinyi wanaume mmewapa reason ya kufanya hivyo, wengi ninaowafahamu mimi au ninaosoma stori zao humu mitandaoni wakatafuta ushauri, unakuta mtu anakwambia mwanaume hajamgusi mwaka wa pili sasa au kwa mwaka anasex nae mara 2 au 3 na wala hamjali kavumilia kashindwa kaamua kwenda kutafuta pumziko nje, ila wale ambao wanasaliti ndoa zao wakati ndani ya nyumba mwanaume anatimizi kila kitu ni wale tunaowaita wadada wa mujini, wapenda show off wasiotaka kupitwa mwanaume ukiingia anga hizo aandike maumivu, lakini ukweli ni kwamba wanawake wengi tunapoolewa huwa TUNATULIA

hlo ni kweli mkuu kweli kuna wanaume wenye mapungufu kiafya lakin wanawake mmezidi. Wengi wenu huwa mnatulia sana kwenye uchumba lakin mkishaolewa tu loh! Mwanaume utajuta kuingia kwenye ndoa.. Nina mfano mmoja" dada mmoja alikua anasoma CBE niliwahi kumtokea kwa lengo la kutaka uchumba akaniambia yeye anamchumba tayar. Akaniambia lakin nisijar yupo tayar atakuwa mpenz wangu tu" nikafikiria sana nikamwambia jiandae kupata ukimwi au mimba na kutelekezwa
 
Ukiacha kuwatafutia bar

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukiwa mume mwema utampata tu mke mwema. mungu anakupa wa kufanana nawe.
 
Dhumuni la mahusiano si kutafuta mtu atakae kukamilisha, bali ni kupata mtu mtakashiriki katika ukamilisho pamoja.

Itakuwa vigumu kupata mke/mume mwema kama wewe si mwema au si mtu wa kujichanganya kwenye mikusanyiko adilifu mfano. nyumba za ibada au kwenye jamii za watu wenye malengo mfanano kama vyuoni, kazini nk ambako unaweza kumchinguza mtu hata kwa miaka miwili bila yeye kufahamu kabla ya kumtolea yako ya moyoni.
 
hlo ni kweli mkuu kweli kuna wanaume wenye mapungufu kiafya lakin wanawake mmezidi. Wengi wenu huwa mnatulia sana kwenye uchumba lakin mkishaolewa tu loh! Mwanaume utajuta kuingia kwenye ndoa.. Nina mfano mmoja" dada mmoja alikua anasoma CBE niliwahi kumtokea kwa lengo la kutaka uchumba akaniambia yeye anamchumba tayar. Akaniambia lakin nisijar yupo tayar atakuwa mpenz wangu tu" nikafikiria sana nikamwambia jiandae kupata ukimwi au mimba na kutelekezwa

huyo hakuwa mke alikuwa mdada wa mjini ambae hajamaliza starehe zake, na hao ambao nimewaongelea kwamba hawawagusi wake zao hata mwaka si kwasababu ya kiafya ni sababu za umalaya mtu anakuwa na wanawake nje kiasi kwamba hakumbuki kwamba mkewe ana muhitaji pia, unakuta hata hela ya matumizi ndani haachi kiufupi hamjali mke wala watoto, hapo ndo matatizo yanapoanza
 
Ukiacha kuwatafutia bar

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu hiyo ni kweli kabisa, vijana wengi wa siku hizi anamuona msichana au mvulana akiwa viwanja, anampenda ghafla bila ya kumfahamu vizuri anatangaza uchumba.

Kisa tu amevutiwa na hipsi, sura au unadhifu wake basi hasikii hata mawazo ya wazazi/wazee wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom