Sijui lini nitapata mke mwema

Sijui lini nitapata mke mwema

wanadamu tunafanya mengi kwa kutumia juhudi na akili zetu tukidhan kuwa ndo pekee za kutufanikisha lakini katika mambo tukimtanguliza mungu ili afanye kile ambacho kinatufaa hakika hatuwezi kuhangaika. Sema wakati sie wanadamu tunafanya yetu na inapofika mahali mambo yanagoma ndo tunakumbuka kuwa mungu yupo

ila kweli
 
Nafikiri kuna baadhi wamepata bahati niseme, au naweza sema wana uwezo mkubwa sana wa kujizuia na tamaa za kidunia na maumbile pia
 
wanadamu tunafanya mengi kwa kutumia juhudi na akili zetu tukidhan kuwa ndo pekee za kutufanikisha lakini katika mambo tukimtanguliza Mungu ili afanye kile ambacho kinatufaa hakika hatuwezi kuhangaika. Sema wakati sie wanadamu tunafanya yetu na inapofika mahali mambo yanagoma ndo tunakumbuka kuwa Mungu yupo
Kweli kiongozi
 
Katika nyakati zetu za sasa ni vigumu sana kumpata mwanamke aliye mwema.

Moyoni mwangu nafikiri sana nionapo marafiki wangu jinsi walivyo salitiwa na wapenzi wao.

Nauliza nyinyi mlio oa na kupata wake wema mlifanyaje mpaka mkawapata hao maana ninampango wa kutafuta mke.

Wewe umempata mwanamke disco unategemea awe mwema? Mwanamke mwema kwanza chunguza wazazi wake wema? Amelelewa vp kimmadili? Maadili gani wanayo kwao, ndugu zake waliolewa kama wapo ndoa zao zikoje zimedumu? Kaka zake kama wapo wanaishije? Na la mwisho mwisho ni bahati tu kupata mke mwema unaweza fatilia yote na ukakosa mwema
 
Uko sawa kabisa mkuu bcsolution

Lakini mtihani bado upo, kuna familia zina maadili mazuri sana, lakini wewe ukishachukua jiko ni hatari

Na huwezi jua hayo mapungufu hapo awali
 
Last edited by a moderator:
Mke mwema anapatikana pia na wewe mtafutaji uwe mwema sio uwe mchepuko halafu utafute aliyetulia utampata mchepuko mwenzio.
 
Mke mwema anapatikana pia na wewe mtafutaji uwe mwema sio uwe mchepuko halafu utafute aliyetulia utampata mchepuko mwenzio.
Kweli tupu Mkuu manking haya mambo ya kuvuta jiko yanachanganya sana

Ukifikiria baadhi ya mambo, hii kitu ni ngumu kuliko
 
Last edited by a moderator:
Kweli tupu Mkuu manking haya mambo ya kuvuta jiko yanachanganya sana

Ukifikiria baadhi ya mambo, hii kitu ni ngumu kuliko

Mkuu umeonaee! watu wankurupuka watulie watapata majiko saafi genuine sio ya kichina.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom