Sijui lini nitapata mke mwema

Sijui lini nitapata mke mwema

Biblia haisemi chochote kuhusu mume mwema. Anayeoa ni mwanaume sio mwanamke
C6 na Biblia inasema apandacho mtu ndicho avunacho na Mungu hugawa haki bin haki so angalia hilo pia.
 
Last edited by a moderator:
Mke mwema ni bahati nasibu.
Hata siku moja! Haiwezekani Mungu akupe Malaika wakati wewe mwenyewe ni Ibilisi.

Mungu alipomuumba mwanaume/mwanamke aliumba pia wa kufanana naye. Ukiona mwenzi wako hamuendani naye ujue huo si ubavu wako tafuta wa kwako ukishindwa mshirikishe Mungu utafanikiwa.
 
Bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.Sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.Lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.Ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .
Kwa hiyo wewe ni bikra wa kiume
 
Tubu na uombe Mungu akusaidie kukuonyesha utampata tu N.B. Utalipwa haki yako sawa na matendo yako jichunguze nawe pia unahaki ya kudai mke mwema mbele za Mungu?kama huna ni rahisi tubu thn badilika atakupa tu.
 
huyo hakuwa mke alikuwa mdada wa mjini ambae hajamaliza starehe zake, na hao ambao nimewaongelea kwamba hawawagusi wake zao hata mwaka si kwasababu ya kiafya ni sababu za umalaya mtu anakuwa na wanawake nje kiasi kwamba hakumbuki kwamba mkewe ana muhitaji pia, unakuta hata hela ya matumizi ndani haachi kiufupi hamjali mke wala watoto, hapo ndo matatizo yanapoanza

kwa hilo kundi la wanaume ndio tunawaita wajinga na wapumbavu........ Lakin usisingizie kusema ni wanawake wa mjin % kubwa ya wanawake siku hzi hamlidhiki na mwanaume mmoja au wawili. Lazma wawe na wanaume zaidi ya mmoja au zaidi.... Wakat mwingne hata mwanaume anayeamua kuitelekeza familia kunaweza kuwa mwanamke ndio chanzo japo siungi mkono hyo tabia. Utakuta mzee unahangaika kutafuta halafu unamkuta wife ndio full kujiachia na vijamaa, unafika nyumban kila ukimuuliza kitu anakuwa mkali, yaan nyumban kunakuwa kuchungu kama uko ugenin vile wakat huo unamtimizia kila kitu hapo kwann mwanaume asikukimbie?! Nmewahi kuisikia kauli moja ya mdada akimwambia mme wake.."Huyu mtoto nmezaa na wewe kwa bahati mbaya tu. Na hutaona tena nikishika mimba yako" tena mbele ya watu. Aisee
 
Chagua mwanamke ambaye ni mzuri kwako, hata watu wakishangaa ulimtoa wapi as long as ur happy. Ukitaka mwanamke ambaye kila mtu anamsifia itakula kwako.
 
Ukitaka kupata alie mwema lazima uwe na mtizamo tofauti
mfano wakati wenzako wanavutiwa na makalio makubwa wewe angalia kwa mtizamo mwingine je hayo makalio yamesitiliwa kwa nguo yenye staha

hoping wewe yako unayasitiri kwa nguo yenye staha
 
kwa hilo kundi la wanaume ndio tunawaita wajinga na wapumbavu........ Lakin usisingizie kusema ni wanawake wa mjin % kubwa ya wanawake siku hzi hamlidhiki na mwanaume mmoja au wawili. Lazma wawe na wanaume zaidi ya mmoja au zaidi.... Wakat mwingne hata mwanaume anayeamua kuitelekeza familia kunaweza kuwa mwanamke ndio chanzo japo siungi mkono hyo tabia. Utakuta mzee unahangaika kutafuta halafu unamkuta wife ndio full kujiachia na vijamaa, unafika nyumban kila ukimuuliza kitu anakuwa mkali, yaan nyumban kunakuwa kuchungu kama uko ugenin vile wakat huo unamtimizia kila kitu hapo kwann mwanaume asikukimbie?! Nmewahi kuisikia kauli moja ya mdada akimwambia mme wake.."Huyu mtoto nmezaa na wewe kwa bahati mbaya tu. Na hutaona tena nikishika mimba yako" tena mbele ya watu. Aisee

Huyo angekua ni mke wangu,angeijutia hiyo kauli daaaadeki
 
Mimi mke mwema nitampata huku huku JF,na nina mfahamu.......nimtaje?
 
Bado sijaoa kwa sasa na sijawahi kujihusisha na mahusiano mpaka sasa.Sasa hivi nimeshakuwa mtu mzima nataka nianze kutafuta mwenza.Lakini nacho ogopa mpaka sasa ni kuanzisha mahusiano halafu baadae kusalitiwa.Ndio maana nimeamua kuomba ushauri kwenu ili nisije kukosea katika kuchagua .
wenzako wanapenda bad boy asa we na uvumilivu wako sijui Kama hata ubadboy unaujua bila ivo utakuwa mwenye kulia tu.
 
Chagua mwanamke ambaye ni mzuri kwako, hata watu wakishangaa ulimtoa wapi as long as ur happy. Ukitaka mwanamke ambaye kila mtu anamsifia itakula kwako.
...huu ndio ukweli. Usioe kuwafurahisha wengine, hili kosa linawaangukia wanaume wengi..!!
 
Kuna jamaa mweusi afu alipeleka demu mweusi kwao.....kirambasi chake sasa ilibidi dogo ambwage yule demu,tukawa tuna mcheka kwamba mke unamuoa ili uishi naye wewe sio shangazi na mawifi wakusifie
 
Tafuta hela MKE mwema utampata easily!

Lkn kama maisha magumu hauna hata motokali ni ndoto kupata MkE mwema,yaani awe anapanda daladala amkatae mshefa anayetaka kumnunulia BWM?

Unacheza makida makida wewe ahahahahahaha
 
Chagua mwanamke ambaye ni mzuri kwako, hata watu wakishangaa ulimtoa wapi as long as ur happy. Ukitaka mwanamke ambaye kila mtu anamsifia itakula kwako.

Asante sana kwa ushauri wako.
 
kusaliti au kusalitiwa ni matokeo, so usiogope, na usipende kuchagua saana mwishowe utajichagua wewe mwenyewe!

Hata ukimuomba Mungu sidhani kama itasaidia kwani tayari Mungu huyo huyo alishakupangia kila kitu so wewe ni kutekeleza tu, katika hili, unaweza kupata mke mwema au asiye mwema, after all, hakuna interpretation ya mke mwema hii imebaki kwa kila mwanaume kutafasri jinsi akili yake inavyompeleka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom