Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Kweli watu wengi si wa kumiani ; hata maneno yao pia mengi si ya kuamini.

Mtu akikaa kwa wazazi "maneno"
Akikaa kwake "majungu"

Hata hivyo, kukaa chumba kimoja haimaanishi haiwezekani kupanga vitatu.
Binadam si mnyama, yawezekana ni mikakati ya kimaisha...
Point ni:
jina la jukwaa hili ni MMU, dhima kuu ya uzi huu ni mapenzi. "Material things" zimejitokeza tu kama moja ya sababu ya kuachana kwao na ilikuwepo katika mazingira ya mahusiano yao.
✌
 
Mzee baba hata siku moja usije kuacha dem ukarudiana nae. Piga chini mazima bloku kila sahemu, endelea kutafuta pesa, mengine yatafuta. Hiyo situation hata mimi ilishanikuta mwisho wa siku akarudi kwa speed ya 4G nikamtolea nje na mtaa nikahama ili asinisome kabisa.Kwa hiyo mzee baba songa mbele never turn back.
 
Thanks bro....kuna mda kuelewa situation n mpk yakukute....!!
 
USIMUAMINI MWANAMKE nilimsikia mlev mmoja nilivokua mdogo but usemi wake nilikuja kuuelewa nilipogonga 27yr yaliyonikuta nilitaman Yule mlevi awe hai na anipe wosia mwingine juu ya Hawa viumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji1490][emoji1490]
 
Sawa kashapambana ila shobo hatutaki, naye binti akapambane kivyake. Hamna upuuzi unaokera kama mwanamke kukimbia shida na kujileta kukiwa na green pasture
 
Kwani alikuwa na shida? Hivi kama una shida ukienda kupanga ndio zinaisha? Yeye alikuwa anamhimiza atoke kwao akajitegemee, ujue inatia uvivu uko na mtu unayetegemea kujenga nae future hajiongezi, yupo yupo tu
I find it odd. Huwezi kukimbia shida ukaita motivation. Mara kumi mwanaume unaeza ukaaga kwamba mama wacha nifunge mkanda kwa mda naingia porini mambo yakiwa mzuka narudi tuyajenge
 
Huyo alikuwa desperate...mwanamke akiwa desperate ndio mda anagongwaga hovyo kuliko kipindi chochote kile. Inaonekana kuna aina flani ya maisha alitaka muwe nayo akaona unamchelewesha. Hapo kati kati atakuwa amegongwa na jamaa tofauti waliomstukia ana wenge la kuolewa ila wakawa wanamkacha baada ya muda mfupi. Wakishaona papara haisaidii ndio wanajirudishaga nyuma.
 
Kwani alikuwa na shida? Hivi kama una shida ukienda kupanga ndio zinaisha? Yeye alikuwa anamhimiza atoke kwao akajitegemee, ujue inatia uvivu uko na mtu unayetegemea kujenga nae future hajiongezi, yupo yupo tu
Sawa ila what if hakuwa amepata shughuli rasmi ya kufanya, i mean at the early stages. Imagine umemaliza tu chuo, mwanamke ana demand uwe na kwako wakati kazi huna. Thats putting a lot of pressure ambayo wala haisaidii
 
Sasa binti aliondoka alipoona anachotaka hakipo, akarudi alipoona kipo. [emoji3][emoji3] kosa liko wapi
Sawa ila what if hakuwa amepata shughuli rasmi ya kufanya, i mean at the early stages. Imagine umemaliza tu chuo, mwanamke ana demand uwe na kwako wakati kazi huna. Thats putting a lot of pressure ambayo wala haisaidii
 
Hakuna motivation huyo binti alitaka ndoa ya mapema inaonekana huko kwao alikuwa anaulizwa mbona hachilumbiwi.
Hahaha ndo tabia zao wakimaliza chuo wanataka waolewe hapo hapo, sasa ukicheki mwana nae ndio kamaliza chuo karudi home kazi hana. Anaanza kusumbua na demand za vitu ambavyo haviwezekani...Unapouliza lini utakuwa na kwako....? This sounds so selfish, ina maana kwangu...like kwangu? Sio kwetu??? Je, wewe kama mke mtarajiwa umeweka effort gani kuhakikisha hilo nalifanikisha?

Nakumbuka ilikuwa bado kidogo nianze kutembeza machungwa road kisa kumridhisha manzi kuwa napambana maana alianza kuni pressurize kinoma baada ya chuo kuisha sina ramani apeche alolo, ku dig deep down kumbe alikuwa anataka ndoa tu kitu ambacho kwa time ile hakikuwezekana. Mwisho akaanza kunisaliti ha ha but here i am now. Stronger than ever, yeye ako analea sahizi kwa wazazi wake husband no where to be seen! Imebaki story.

Girls acheni tamaa ya ndoa za vodafasta nothing comes easy. Mnapoteza potential guys kwa tamaa za kishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…