Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Sawa ila what if hakuwa amepata shughuli rasmi ya kufanya, i mean at the early stages. Imagine umemaliza tu chuo, mwanamke ana demand uwe na kwako wakati kazi huna. Thats putting a lot of pressure ambayo wala haisaidii
Kaka ndo maana nasema hawa hawawez kuelewa kitu mpk yawakute....!kuna mengi sana sijayaweka...!!kuwa busy na mtu mwngne ndo kummotivate mtu??

Sijivunii kwa hapa nlpofikia

Just am glad kuwa wamshamfunza alipokosea

Na reason pekee y cjibu text na calls zake n kwakuwa yalishapita....ukurasa wke ushfungwa
 
Hahaha ndo tabia zao wakimaliza chuo wanataka waolewe hapo hapo, sasa ukicheki mwana nae ndio kamaliza chuo karudi home kazi hana. Anaanza kusumbua na demand za vitu ambavyo haviwezekani...Unapouliza lini utakuwa na kwako....? This sounds so selfish, ina maana kwangu...like kwangu? Sio kwetu??? Je, wewe kama mke mtarajiwa umeweka effort gani kuhakikisha hilo nalifanikisha?

Nakumbuka ilikuwa bado kidogo nianze kutembeza machungwa road kisa kumridhisha manzi kuwa napambana maana alianza kuni pressurize kinoma baada ya chuo kuisha sina ramani apeche alolo, ku dig deep down kumbe alikuwa anataka ndoa tu kitu ambacho kwa time ile hakikuwezekana. Mwisho akaanza kunisaliti ha ha but here i am now. Stronger than ever, yeye ako analea sahizi kwa wazazi wake husband no where to be seen! Imebaki story.

Girls acheni tamaa ya ndoa za vodafasta nothing comes easy. Mnapoteza potential guys kwa tamaa za kishamba
Haha haya mawazo nilikuwa nayo baada ya kumaliza chuo, I was like shule nimemaliza, kijikazi nimepata japo cha ovyo ovyo imebaki kuolewa. Yule mpumbavu naona alikuwa anasoma mawazo yangu alinipelekesha haswaa na mimi nikawa hata sioni najionea kawaida tu mawazo yote si yapo kwenye ndoa. Kuja kushtuka kwamba hapa hakuna muoaji akili zikanirudi, hakuamini macho na masikio yake
 
Ndugu wanawake wanataka wakukute na kila kitu ndo wahamie

Na ubaya kipindi hiki hakna muoaji....ni waonjaji tu....wanachapa na kuondoka

Just nnachoshukuru n kuwa wamemfunza....now aendelee na maisha yake

Tutafute pesa mkuu

Mkisikia ndoa huwa mnawehukaa...
 
Kaka ndo maana nasema hawa hawawez kuelewa kitu mpk yawakute....!kuna mengi sana sijayaweka...!!kuwa busy na mtu mwngne ndo kummotivate mtu??

Sijivunii kwa hapa nlpofikia

Just am glad kuwa wamshamfunza alipokosea

Na reason pekee y cjibu text na calls zake n kwakuwa yalishapita....ukurasa wke ushfungwa
Wala hata usihangaike naye huyo mjinga, mwanamke msaliti ni sumu mbaya sana kwa ustawi wa mwanaume na hata familia. Mwache ale alikopeleka mboga
 
Ndugu wanawake wanataka wakukute na kila kitu ndo wahamie

Na ubaya kipindi hiki hakna muoaji....ni waonjaji tu....wanachapa na kuondoka

Just nnachoshukuru n kuwa wamemfunza....now aendelee na maisha yake

Tutafute pesa mkuu
Amini kwamba, sahivi waoaji wanapatikana kwa zali sana maisha tyt hela ngumu. Sema tuendelee kujiboresha tu waliiona hatufai watapata mafunzo.
 
Mimi ilikuwa miaka hiyo, haya yalinipata nikiwa 24 - 25, kila nikikumbuka najiuliza hivi nilikuwa mimi yule kweli?
Hapo wana waliokuja na sera ya ndoa waliku chanyata kinoma kwa mda mfupi mfupi. Hivi kuna tatizo gani hapo age 23-25 mbona wanawake ni kama wote wanawehukaga
 
Haha haya mawazo nilikuwa nayo baada ya kumaliza chuo, I was like shule nimemaliza, kijikazi nimepata japo cha ovyo ovyo imebaki kuolewa. Yule mpumbavu naona alikuwa anasoma mawazo yangu alinipelekesha haswaa na mimi nikawa hata sioni najionea kawaida tu mawazo yote si yapo kwenye ndoa. Kuja kushtuka kwamba hapa hakuna muoaji akili zikanirudi, hakuamini macho na masikio yake
Hahahah alikupa upako kidogo, sema sijui kwanini chuo kikiisha mnawaza kwamba lifuatalo ni ndoa tu.
 
hahaha ngoja nikuambie, katika maisha yangu yote sijawahi kufanya kosa moja mara mbili
Hahahah hata ungefanya mara 3 usingekaa ukubali vile vile. Najua kuna wana walipiga sana papuchi yangu ila sio mbaya ni kipindi cha mpito. Wacha mie nimalizie haina makombo
 
Kwa sababu umeamua kujiaminisha hivyo hakuna neno. Trust me, binadamu tunatofautiana sana kwenye lifestyle zetu hata ukikataa iko kivyo. Nikikuambia hata huyo ninayemsema tuliishia kwenye kukiss najua utabisha, sitakulazimisha

Back
Top Bottom