Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,818
Salama kabisa Mungu n mwema kumekucha tena, naendelea kufurahishwa na response yako hum ndan
Mimi mzima, habari ya wewe
Mimi mzima, habari ya wewe
Salama kabisa Mungu n mwema kumekucha tena, naendelea kufurahishwa na response yako hum ndan
NimemuachaHebu muache mwenzio! Sasa asiseme??
N you too beautiful...!!You Really Are Something!!..You Made Me Say Things Ambzo Sikupanga Kuvisema....!!ThanksBasi sawa, kila la kheri.
Hakika
Nidokezee, linahusu nini?PM yako imefungwa , nilikuwa na jambo la maana sana na wewe
Yaani!!!?!Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Yaani!!!?!
Msuteni mpaka kojo limtoke!!
Yamekua hayo?Kwani, umesikia mimi msutaji?
Ni kweli kabisa yaaniLife is unpredictable...
Kuna mmbo hutokea bila kanuni, na mengine hukotea kwa sbbu kanuni zimezingatiwa...
Uliyeachana naye sasa unambeza, si ajabu utakutana na mwingine mpya na ukaanza kumkumbuka huyu unayembeza sasa...
Kwa step yake aliyotokea ni kama amepiga hatua, hawezi kuidharau hatua hiyo endapo hakuwa na kwake.Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
nimekupenda kwa jibu hilo
Kuna levels tofauti za mafanikio ujue mwenza.
Kwake hayo ni mafanikio as ametoka kula kulala kwa wazazi now anamiliki single room ya kupanga hivyo kapiga hatua.
Ni mafanikio makubwa sana, lakini yanatosha kiasi cha kujivuna kwamba mtu anamtumia meseji kwa sababu ya mafanikio yake?Kwa step yake aliyotokea ni kama amepiga hatua, hawezi kuidharau hatua hiyo endapo hakuwa na kwake.
Samsung TV inch 32 pekee ni 500000/- na si nyepesi kuitoa dukani kuileta chumbani, hardwork.
"Lini utakuwa na kwako P" namnukuuNi mafanikio makubwa sana, lakini yanatosha kiasi cha kujivuna kwamba mtu anamtumia meseji kwa sababu ya mafanikio yake?
"Lini utakuwa na kwako P" namnukuu
Sasa leo kaona yupo na kwake kamrudia, na alimuacha.
Kweli si sababu ya kutojibu sms, mimi binafsi ningemjibu ila nisingemkaribisha tena katika maisha yangu.
Hatochelewa kuniuliza "Lini utakuwa na gari P" halafu aniache kisa sina gari,nikipata anirudie hahaa



Yes kwa level zake....Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Atleast umeongea point ya msingi. Binaadam sio wa kumwamini sio wanawake tu hata wanaume ni nyoka mwenye sumu kali sanaUkikutana na wanawake nao watakwambia mwanaume sio wa kumwamini. In general bin- Adam sio wa kumwamini.
Alipotoka mpka alipofika kwake ni mafanikioYaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?