smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,408
- 2,844
Shida ni approach aliyotumia kummotivate jamaa ni more sinister approach .amini hakuna kitu kibaya kama kucheza na hisia za mtu.
Huwa ktk haya mambo mnakuwa na negativity nyingi sijui kwanini
Hebu tuambie ungekuwa wewe ndio huyo binti ungefanya nini?
Amekupa motivation ya kupambana zaidi, kuna watu unapokuwa laini kwake anabweteka badala ya kupambana. Amekuwa mgumu ukapata akili ukapambana hadi sasa unayaona matunda. Kila jambo linatokea kwasababu.
Usimlaumu tu, mshukuru pia. Hayo mengine shauriana na ubongo wako.


