Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,117
- 124,683
Hii comment nitakoma leo maana kila mtu ananiquote.[emoji3][emoji3][emoji3] nimeelewa jamaniAlipotoka mpka alipofika kwake ni mafanikio
Nadhan itakuwa kamaanisha hvyo
Hii comment nitakoma leo maana kila mtu ananiquote.[emoji3][emoji3][emoji3] nimeelewa jamaniAlipotoka mpka alipofika kwake ni mafanikio
Nadhan itakuwa kamaanisha hvyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado ndo kwanza uzi bado mbichi kabsaHii comment nitakoma leo maana kila mtu ananiquote.[emoji3][emoji3][emoji3] nimeelewa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado ndo kwanza uzi bado mbichi kabsa
Kwa ushaur wangu ifute maana kila atakaye pita atatupia kanenoNiifute eti...?
Kwa ushaur wangu ifute maana kila atakaye pita atatupia kaneno
Maana imekaa kama mtt wa masaki anamshangaa wa mbagala[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16] nimekazia tu[emoji3][emoji3][emoji3] daah naona hapo mwisho umeamua kupigilia msumari
Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Hakuna motivation huyo binti alitaka ndoa ya mapema inaonekana huko kwao alikuwa anaulizwa mbona hachilumbiwi.Huyo binti alikuwa anakupa motivation ya kupambana ila kwa sababu ya kujishtukia uliona anakunyanyasa
hata mimi nimeifikiria sana hii comment yako ila nikajiongeza labda kwako jamaa bado yupo chini sana kimaisha ndio maana umeargue negatively maendeleo yakeYaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji16][emoji16] nimekazia tu
Linaweza kuwa tangazo la kutafutia wachumbaYaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] jiandae kuna wale wa kukwoti comment ndefu kuliko uzi husikaHii comment nitakoma leo maana kila mtu ananiquote.[emoji3][emoji3][emoji3] nimeelewa jamani
Kila mtu ana jinsi anavyofikiria mafanikio tusi discourage hatua yake hiyo ingawa anapaswa afikirie mambo makubwa zaidiHahahaha
Hapa hata mimi nimeshangaa sana
Kweli,kila mtu na speed yake.Kila mtu ana jinsi anavyofikiria mafanikio tusi discourage hatua yake hiyo ingawa anapaswa afikirie mambo makubwa zaidi
It's an issue of background
Ngojea niulize maybe n kwakuwa nilikuw romantic au nilikuwa nakosea
Amepata likizo...anakuja dsm!!amefika dsm usiku....nkamwambia nakuja kukupokea stendi na kama ingkuwa usiku sana nngtafuta hata hotel o lodge tulale then asubuh o mchana aende kwao
Akanambia kuwa alikuw anantania bdo hajafika
Then baada ya kama wiki nlipokuja kmuuliza anasema alilala kwenye basi mpaka asubuh...!!
Wew ungfikiria nn??
Kuna mengi saana nmeyaacha
Mle Mara ya mwisho halafu mwambie unaoa karibuni Zanzibar asipo zimia nitag