Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Tafuta pesa acha ujinga!nani kakuambia vitu vya ndani ni utajiri!!?
Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo niliyomuahidi kabla mzee Magu hajaingia madarakani hayatatimia

Maana of course wahitimu wengi tumejaa mtaani huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya maisha!!

Sikuwa na kazi, nilivurugwa...!!na still girl ananiuliza "Lini utakuwa na kwako P?"....kichwa ndo kikazidi kuniuma...!!

Then akaanza kubadilika...text hazijibiwi kwa wakati....yupo busy na kazi za nyumbani akisema ameenda kukinga maji hapo atakaa masaa 7!!

Nikasoma mchezo kuwa sitakiwi tena na kuna mtu anamkeep busy....!!bila shari nikabreak up(japo still alidai ananipenda)

Iliniuma mno kuachana nae but ilinibidi...!!hapo ndio safari ya kutafuta maisha nikiwa single ilipoanza...!!nilitumia funzo na kiburi alichowahi kunionesha kama motisha kupambana na maisha

Iliniuma pia resources na muda niliopoteza kwake coz n ngumu kusahau mtu alokuachia mengi ya kukumbukwa..Kila nikiona mvua nakumbuka nilivyoloa mwili mzima stendi kumkinga yeye asiloe

Iloniuma kutumiwa hivyo nikaahidi kutafuta pesa kwa udi na uvumba nijenge maisha lkn pia niliahidi kutoamini hawa viumbe kamwe

Nimetafuta pesa kwa nguvu zote bila kupumzika, sina weekend wala out...!!

Namshukuru Mungu now nina biashara yangu na pia nimepanga chumba na vitu ndan vinajaa na still bado vitajaa

TATIZO LINAANZIA HAPA

Ameanza kutuma text...!!na huwa sijibu, huwa anatuma text nisipomjibu atakaa wiki au hata mwezi au miezi lkn atatuma tena message

Niliamua kufuta kabisa connection nae...!!coz najua lazima atajifunza kitu akikutana na mbwa mwitu wa kuonja onja...!!

Just nilihitaji kushare experience na ushauri pia

Kama ex wako anataka kurudi jua huko alikoenda wamemfunza kitu na sio kama amerudi kwakuwa anakupenda.

Na kwakuwa anakuweza...!!na pia labda na kwa kuwa amesikia hatua ulopiga so ndo amerudi akuangushe tena

Na ukiona umeachana na mtu na mambo yakakunyookea, jua umeanza hatua ya kwanza kuelekea mafanikio.

Morning
 
Story yako imefanana na mimi ila mimi nligharamika zaidi. Nlizaa nae, nikamlipia mahari, nikasomesha diploma.... Nlitumia kama 4M.
Nilikua nae kwa miaka kama 7 ila alipoona mambo yangu hayanyooki baada ya mzee baba kuingia madarakani na ajira kukwama ndo vile akawapa nafasi wenye magari yao ambao hawakumsaidia kifedha ila starehe tu.

Saivi haishi kutuma sms za kujifanya ananipenda na hatanisahau nk.
IMG_20190520_102702_032.JPG
 
Amini kwamba, sahivi waoaji wanapatikana kwa zali sana maisha tyt hela ngumu. Sema tuendelee kujiboresha tu waliiona hatufai watapata mafunzo.
Hahahaaa n kweli...!!hakuna feeling tam kama mtu kujua kuwa unaendelea na maisha bila ya yeye kuwepo
 
Hapo wana waliokuja na sera ya ndoa waliku chanyata kinoma kwa mda mfupi mfupi. Hivi kuna tatizo gani hapo age 23-25 mbona wanawake ni kama wote wanawehukaga
Ndo age ambayo wengi huolewa....ikipita hapo mwanamke anakuwa chiz....!!mbwamwitu nd hufaidi
 
Ndio muache viranga, huna shughuli ya kufanya hisia unatoa wapi?
Kwani genye zinahusiana na shughuli za mtu. Kama ingekuwa hivyo Mzee mengi angekuwa hana watoto. Hisia zipo tu 😂😂😂 ndio maana hata ww unakataga mauno kwa umpendae
 
Story yako imefanana na mimi ila mimi nligharamika zaidi. Nlizaa nae, nikamlipia mahari, nikasomesha diploma.... Nlitumia kama 4M.
Nilikua nae kwa miaka kama 7 ila alipoona mambo yangu hayanyooki baada ya mzee baba kuingia madarakani na ajira kukwama ndo vile akawapa nafasi wenye magari yao ambao hawakumsaidia kifedha ila starehe tu.

Saivi haishi kutuma sms za kujifanya ananipenda na hatanisahau nk.View attachment 1102778
Hahaha boya huyo, mwambie unafurahia sana upendo wake na aendelee na moyo huo huo! Pumbav na nusu 😂
 
Ndo age ambayo wengi huolewa....ikipita hapo mwanamke anakuwa chiz....!!mbwamwitu nd hufaidi
Ila naona past 25 akili ya mwanamke ndio inakuwa imetulia. Kama mtu hupendi drama tafta manzi mwenye age ya 25 ama zaidi
 
Ha
Hata sisi maskini tunahitaji kubembea mkuu
hahahah tatizo la wamama humu jeiefu ni kukandia tu vijana makapuku...utadhani wao hawastahili kupendwa ila at the same time hao wamama wanatoa penzi kwa mikopo
 
Hahaha boya huyo, mwambie unafurahia sana upendo wake na aendelee na moyo huo huo! Pumbav na nusu
Maisha yanabadilika sana, wanakimbilia wasipopajua na mwishowe hujutia.

Kuna dada alipapatikia jamaa mwenye gari, anaipata kweli maana jamaa mashine inafanya kazi kwa kama dakika tano, ikizimika yeye hajatosheka anasubiri baada ya siku tatu ndo inawaka tena kwa dakika tano. Asubuhi haifanyi kazi kabisa.

Anapata majuto maana jamaa ana gubu balaa na anamlinda kupindukia.
 
Hahahahah being desperate always leads to wrong choices ila madhara yake huonekana baadae! Watu wa namna hio ndio hufanya ndoa kuwa ngumu na kuonekana vijana hatusathili kuoa sikuhizi. Hapo mwisho wa hio ndoa ni kufa kibudu
 
Back
Top Bottom