Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Wanawake wengi hawanaga uvumilivu kwenye swala la mafanikio wengi wao wanapenda akuone unayo mafanikio lakin wengi hawapo tayari kukuvumilia na kukusubiria kipind unayatafuta mafanikio na kujenga maisha pa1, mwisho wa siku wanajutia wenyew ..
WENGI WANAPENDA KUJIFUNZA BAADA YA KUKOSEA NA KUJUTIA WAKATI UWEZO WA KUIZUIA HIYO HALI
Unaposema "wengi" ilihali makapuku wengi ndio wanaooa kila siku unawazungumzia wanawake gani? Waliofanikiwa pia walioa wakiwa apeche alolo tu wake zao wakawavumilia hadi wametusua.
 
Huwa ktk haya mambo mnakuwa na negativity nyingi sijui kwanini
Hebu tuambie ungekuwa wewe ndio huyo binti ungefanya nini?

Amekupa motivation ya kupambana zaidi, kuna watu unapokuwa laini kwake anabweteka badala ya kupambana. Amekuwa mgumu ukapata akili ukapambana hadi sasa unayaona matunda. Kila jambo linatokea kwasababu.

Usimlaumu tu, mshukuru pia. Hayo mengine shauriana na ubongo wako.
Na huwez amini...nshawah kumshukuru...!!just cwezi kmruhus arudi....am superman....she is kryptonite...!!ataniangusha
 
Kuna levels tofauti za mafanikio ujue mwenza.
Kwake hayo ni mafanikio as ametoka kula kulala kwa wazazi now anamiliki single room ya kupanga hivyo kapiga hatua.
Naelewa vizuri mwenza. Amepiga hatua kubwa ila tatizo ni vile anajichukulia...yaani kisa kajaza vitu rum mtu akimtumia meseji anamtafuta kwa sababu katusua
 
Unaposema "wengi" ilihali makapuku wengi ndio wanaooa kila siku unawazungumzia wanawake gani? Waliofanikiwa pia walioa wakiwa apeche alolo tu wake zao wakawavumilia hadi wametusua.
Usione kila mtu ameoa ukajua nd alianza na huyo....!!kila mtu ana historia ambyo hakuna aijuaye zaidi ya yeye
 
Kuna levels tofauti za mafanikio ujue mwenza.
Kwake hayo ni mafanikio as ametoka kula kulala kwa wazazi now anamiliki single room ya kupanga hivyo kapiga hatua.
Thanks beautiful
 
Naelewa vizuri mwenza. Amepiga hatua kubwa ila tatizo ni vile anajichukulia...yaani kisa kajaza vitu rum mtu akimtumia meseji anamtafuta kwa sababu katusua
Hahahaaaa waala sijasema kantafta kwakuw nmpiga hatua....nmsema kuna mbwamwitu wamemfunza kitu

Somtimes waweza kutafuta furaha kumbe ulishaiacha nyuma...!!

Tunajifunza
 
Back
Top Bottom