Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,805
Pole sana. Hiyo inaitwa Baptism by fire... After you go through hard things, you never remain the same!
Kuna ambao hawaamki hadi yamfike kama wewe hivi, si unaona baada ya kuachwa ndio uliamka. Hivyo ilipaswa akuache ili akili ikukae vizuri,ujifunze na ukue then ndio arudi. Yawezekana ule haukuwa muda mzuri kwako kuwa ktk mahusiano nae ila sasa.So wmaansha kuwa now yawezkn akawa mwema tena.?....yawezkana asiniache??
Kila bnadam ana turning point yake..!!kil mtu ana wakat wake wa kuamka
Maybe her out of my life....is my wake up call
Bora uanza moja kuliko kuendelea na mtu tayari umeshamjuaMpya pia sio guarantee.
Am not trying to say kuwa nilikuwa sijishughulishi....nlfungua almost biashara 3
Kabisa mwenza, na ingetokea huyo binti akawa au akaolewa na alie na kipato zaidi basi hili ndio angelikuza zaidi kumbe yeye ndio tatizo.
Hapa nimeliona tatizo kwa kwake sio kwa binti maana amesema kabla binti alikuwa anamhoji atakaa kwao hata lini? Hii tayari ilikuwa inaonyesha anamtaka aamke apambane, ila yeye akaona ananyanyaswa.
Unaposema "wengi" ilihali makapuku wengi ndio wanaooa kila siku unawazungumzia wanawake gani? Waliofanikiwa pia walioa wakiwa apeche alolo tu wake zao wakawavumilia hadi wametusua.
KhantweYaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?



Ilikuw na kabla ya nlpoanza kutomjibu...ali kuwa na majib ya kejeli...dharau so nd nkakata mawasilianoUmesema haumjibu, hiyo conversation ipi unayoongelea?
Ni hatua kwake kwani mafanikio na maendeleo ni kutoka hatua ya chini kwenda juuYaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Kabla hamjaachana?Ilikuw na kabla ya nlpoanza kutomjibu...ali kuwa na majib ya kejeli...dharau so nd nkakata mawasiliano
Ambae unamjua ndio mzuri sasa, zimwi likujualo halikuli likakwisha.Bora uanza moja kuliko kuendelea na mtu tayari umeshamjua
AbeeNdio maana nmetumia neno wengi wao na sio wote kwa sababu najua sio wote wapo hvyo dada mkuu Khantwe![]()
Mmmmmh!! Mkuu sio kuwa unaongezea kwa kuvuta kamba upande wako?Am not trying to say kuwa nilikuwa sijishughulishi....nlfungua almost biashara 3
Zote zilifail....na mostly n kwakuwa nilijitolea kwake...!!she was studying...!!i gave her money for every needs alohitaji boarding...!!
So nilikuwa nahangaika na biashara yngu changa huku nkmsaidia yeye...!!na hapo kumbuka bdo visa vipo
Likizo za wiki alibaki huko kwao....sikuwasiliana nae siku 3 kwa kisngizio simu ilianguka chini ya kitanda alikuwa anaitafuta
Vipi nmrudishe??
Hiyo wengi ndio ninaishangaa maana hao hao wengi ndio waloolewa na hawa hawa unaosema masikini.Ndio maana nmetumia neno wengi wao na sio wote kwa sababu najua sio wote wapo hvyo dada mkuu Khantwe![]()
Abee
Mzma wewe habari ya jumapil?
Nap...abou a month baada ya kuachana...!!nkawa nawasiliana nae...!!but kejeli na dharau nd zlnfanya nkate mawasilianoKabla hamjaachana?
Hiyo wengi ndio ninaishangaa maana hao hao wengi ndio waloolewa na hawa hawa unaosema masikini.
Hebu muache mwenzio! Sasa asiseme??Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Basi sawa, kila la kheri.Nap...abou a month baada ya kuachana...!!nkawa nawasiliana nae...!!but kejeli na dharau nd zlnfanya nkate mawasiliano
Am sure kuwa waweza kudhan nafanya kwa makusudi ila kila conversation nlosema ngjea nmckilize labd ana deal nono...
Turned out to be a mistake....mistake am not intended to repeat
Amepiga step,kumbuka alikuwa anakaa kwao..so nimafanikio pia.Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?