Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Lakini still ameoa mwanamke si ndio? Tena ktk hali yake hiyo hiyo ya umasikini right?

Kuoa au kuolewa na uloanza nae hii hutokea kwa nadra maana kwenye maisha kuna ups and down nyingi.
Lakini hii ya kulaumu wanawake naona mnaikuza sana ilihali wenye hali za kawaida ni wengi kuliko matajiri na wanaoa kila uchwao na wanaoa hao hao wanawake mnaodai hawawezi kuvumilia shida.

Wakati mwingine unapoachwa na mwanamke sio kwasababu wewe ni masikini ila mentality yako kuhusu huo umasikini na tabia zako zingine. Ila huwa mnajistukia tu kuwa umeachwa sababu ya umasikini.
Ushasema maskini ni wengi kuliko matajiri ila kama ingekuwa kinyume hakuna mwanamke angekubali kuolewa na kapuku.
 
Safi sana usijibu wala usimtafute..
Hao watu wa hivo wanatafutaga sehemu kwenye unafuu tu na hapo anakutafuta akijua mambo yako yatakua poa ko kwake atapata anafuu ya maisha.
 
Hahahaaaa waala sijasema kantafta kwakuw nmpiga hatua....nmsema kuna mbwamwitu wamemfunza kitu

Somtimes waweza kutafuta furaha kumbe ulishaiacha nyuma...!!

Tunajifunza

'Sometimes waweza itafuta furaha kumbe ulishaiacha nyuma' Nimeyaelewa haya maneno. Kuna watu wanaruka jivu wanakanyaga moto na wakishaungua ndo wanarudi walikotoka.

Aisee mtu aliyekuacha akaenda kwa mtu mwingine yakamshinda huko ndo anajifanya kukurudia fyekelea mbali kabisa . Kwani alisahau nini kwako?
 
Na unaamini utakaempata sasa hivi ndio atakuwa mwema? Yawezekana huyu akawa amejifunza na akawa mwema zaidi ya unavyofikiria au vinginevyo.

Wakati mwingine sisi wanawake tunapoona unamshauri mtu na unamsukuma ajiongeze ila hastuki unaona hiyo ni red alarm. Maana unaiwazia kesho unaona kabisa giza. Naamini angeona angalau unahangaika angekuwa nawe.

Sasa ameona umeamka na angalau unajituma anaona YES.

Anatakiwa pia amshukuru, kampa hasira ya kutafuta. Bila hivyo angebweteka tu . Ona sasa mpaka kajaza vyombo rumuni kwake
 
'Sometimes waweza itafuta furaha kumbe ulishaiacha nyuma' Nimeyaelewa haya maneno. Kuna watu wanaruka jivu wanakanyaga moto na wakishaungua ndo wanarudi walikotoka.

Aisee mtu aliyekuacha akaenda kwa mtu mwingine yakamshinda huko ndo anajifanya kukurudia fyekelea mbali kabisa . Kwani alisahau nini kwako?
I don know...!!na ht staki kujua
 
Jinsi nilivyoachwa na dada mmoja ambae nilijitoa muhanga wa kila kitu kwake sitakuja kuamin kamwe

Kweli hawa viumbe hata wakuambie nn si wakuwaamin nilisota miezi kadhaa kama msukule vile , sili vzur , silali wala kuelewa dunia inaendaje kwakwel

Ila nashkuru nilipambana na maumiv ya break up nika move on sasa hivi nina mke na mtoto mmoja
 
M nahis haikuwa vyema kumkatia mawasiliano ili hali amesema bado anakupenda mapenz inawezekana yalipungua maana watu wote hawafanan na mapenz yakishakuwa ya kutakiana sku njema kila sku yanaboa lakn kitu kingine kama umegundua n nn alikuwa anataka kama umepata s ndo urud sasa inaezekana aliona hauko serious maana kudate na mtu asokuwa na kwake nayo n kazi ingine
Lakn pia yeye ndo alikupa hasira ya kupambana sa kama umepata rud tu,povu sitak
 
Ndugu sincerely speaking cwezi....kuna vitu vikipotea kuvirudisha haiwezkan

Sitamuamini tena....siwez kuish n mtu nsomuamin...ntamdanganya

Kuna maumiv mengne huwez kuyaelewa mpaka yakukute..watu wanachukulia simple tu
Jinsi nilivyoachwa na dada mmoja ambae nilijitoa muhanga wa kila kitu kwake sitakuja kuamin kamwe

Kweli hawa viumbe hata wakuambie nn si wakuwaamin nilisota miezi kadhaa kama msukule vile , sili vzur , silali wala kuelewa dunia inaendaje kwakwel

Ila nashkuru nilipambana na maumiv ya break up nika move on sasa hivi nina mke na mtoto mmoja
 
Ndugu sincerely speaking cwezi....kuna vitu vikipotea kuvirudisha haiwezkan

Sitamuamini tena....siwez kuish n mtu nsomuamin...ntamdanganya
Come on!bas fanya hv mwambie afanye mambo mengine ushamoveon u don't need her anymore it sounds better
 
USIMUAMINI MWANAMKE nilimsikia mlev mmoja nilivokua mdogo but usemi wake nilikuja kuuelewa nilipogonga 27yr yaliyonikuta nilitaman Yule mlevi awe hai na anipe wosia mwingine juu ya Hawa viumbe
Pole viumbe hawa n hatari mno
 
Back
Top Bottom