Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nayajua vizuriHujui maisha wewe
Nayajua vizuriHujui maisha wewe
Na unaamini utakaempata sasa hivi ndio atakuwa mwema? Yawezekana huyu akawa amejifunza na akawa mwema zaidi ya unavyofikiria au vinginevyo.Na huwez amini...nshawah kumshukuru...!!just cwezi kmruhus arudi....am superman....she is kryptonite...!!ataniangusha
No...!!waala!!..nlmuwekea ahadi kuwa mwezi wa 5 mwaka jana tungekuwa na chumba chetu!!...Huyo binti alikuwa anakupa motivation ya kupambana ila kwa sababu ya kujishtukia uliona anakunyanyasa
Hongera. Hivyo vitu hata mimi sinaThanks kwa kunisaidia...!!anadhan flat....sofa na sabufa thaman yake n sawa na tecno m3
Ni hatua
Bado ana inferiority complex, hajajiamini bado ndio maana ana mentality hiyo.Naelewa vizuri mwenza. Amepiga hatua kubwa ila tatizo ni vile anajichukulia...yaani kisa kajaza vitu rum mtu akimtumia meseji anamtafuta kwa sababu katusua
Simjibu kwakuwa nmefukia past..!!she reminds me of everything...!!by the way...ulikuwa n ushauri..!!take it o leave itSijakataa, ni mafanikio. Shida ni pale anapotafutwa anajiona Bakhresa
Hamna kitu hapo mtu kakuacha kaenda kugongwa huko wememtema ndio anajifanya kurudi. Jamaa atafute demu mpya tuNa unaamini utakaempata sasa hivi ndio atakuwa mwema? Yawezekana huyu akawa amejifunza na akawa mwema zaidi ya unavyofikiria au vinginevyo.
Wakati mwingine sisi wanawake tunapoona unamshauri mtu na unamsukuma ajiongeze ila hastuki unaona hiyo ni red alarm. Maana unaiwazia kesho unaona kabisa giza. Naamini angeona angalau unahangaika angekuwa nawe.
Sasa ameona umeamka na angalau unajituma anaona YES.
Well you said thatHongera. Hivyo vitu hata mimi sina
Yeah am in relationship....with my businessBado unampenda? Una mtu mwingine tayari?
HahahahaYaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Noted....but nafanya hvyo kwakuwa kila conversation nae haijawah kuisha salama...!!so naepusha kuharibu sikuBado ana inferiority complex, hajajiamini bado ndio maana ana mentality hiyo.
Hata nami nimeshangaa why hajibu text zake, kwani haya maisha tu kuna leo na kesho. You never know.
Lakini still ameoa mwanamke si ndio? Tena ktk hali yake hiyo hiyo ya umasikini right?Usione kila mtu ameoa ukajua nd alianza na huyo....!!kila mtu ana historia ambyo hakuna aijuaye zaidi ya yeye
Huyo binti alikuwa anakupa motivation ya kupambana ila kwa sababu ya kujishtukia uliona anakunyanyasa





Nawe unaweza kukuta utahangaika kuitafuta furaha kumbe ndio hii unaiacha nyuma.Somtimes waweza kutafuta furaha kumbe ulishaiacha nyuma...!!
Tunajifunza
So wmaansha kuwa now yawezkn akawa mwema tena.?....yawezkana asiniache??Lakini still ameoa mwanamke si ndio? Tena ktk hali yake hiyo hiyo ya umasikini right?
Kuoa au kuolewa na uloanza nae hii hutokea kwa nadra maana kwenye maisha kuna ups and down nyingi.
Lakini hii ya kulaumu wanawake naona mnaikuza sana ilihali wenye hali za kawaida ni wengi kuliko matajiri na wanaoa kila uchwao na wanaoa hao hao wanawake mnaodai hawawezi kuvumilia shida.
Wakati mwingine unapoachwa na mwanamke sio kwasababu wewe ni masikini ila mentality yako kuhusu huo umasikini na tabia zako zingine. Ila huwa mnajistukia tu kuwa umeachwa sababu ya umasikini.
Mpya pia sio guarantee.Hamna kitu hapo mtu kakuacha kaenda kugongwa huko wememtema ndio anajifanya kurudi. Jamaa atafute demu mpya tu
MaybeNawe unaweza kukuta utahangaika kuitafuta furaha kumbe ndio hii unaiacha nyuma.
Basi mwambie akukomeYeah am in relationship....with my business
Umesema haumjibu, hiyo conversation ipi unayoongelea?Noted....but nafanya hvyo kwakuwa kila conversation nae haijawah kuisha salama...!!so naepusha kuharibu siku