kwa hiyo na wewe ni timu BWANA YULE.
SWISSME
Pamoja na kupata Shahada ya Chuo Kikuu kwa mkopo toka HESLB bado kiingereza changu kina UKUNGU na ulimi bado mzito ajabu. Napata kigugumizi kikali nikijaribu kuongea kiingereza. Lawama nimtupie nani kati ya hawa?
1. Baba wa Taifa; kwa kuamua kiswahili iwe lugha ya taifa;
2. Mzazi wangu kwa kunipeleka shule za kayumba;
3. Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Muungano;
4. Ama NIJILAUMU mwenyewe kwa kutojibisha kupata maarifa kwa lugha Tajwa? kutwa kusoma migazeti ya udaku kwa kiswahili, na aina ya marafiki nilionao wasio leta changamoto yoyote.
5. Waziri mwenye dhamana!!!
English course hv zinasaidia kweli au.kupoteza mudaIngia English course
nilaumu mimiKingereza ni janga la kitaifa mkuu
English course hv zinasaidia kweli au.kupoteza muda
Nilipomalizaga form six nikasema.wacha nijionheze,duuh
Kule wacha waende wasio.jua kabisa ENGLISH
Ila kwa mtu na degree yako,yataka.moyo
Hapo na mm huwa pananipa tabu,kufikilia kwa kingerezaNi kweli kiongozi kule ni kwa kuanzia tu kwa watu wa primary hata sekory hawezi kuelewa kitu, kama unadegree kikubwa ni kukutana na hawa jamaa weupe unakuwa na unaongea nao bila uoga, Kinachotusumbua tunafikiri kwa kiswahili kwanza badala ya kufikiri kwa kiingereza wakati unaongea na mtu.
Hoja yako inaweza kudharauliwa lakini kila mmoja wetu akijiweka kwenye nafasi yako inabidi ajisikitikie na ndio ataelewa kilichopelekea chuo kikubwa Tanzania kuipitisha lugha ya Kiswahili kawa official language yake. Nilichokuwa najiuliza ni kama kuna doctorate au uprofesa unaotolewa kwa Kiswahili duniani!Pamoja na kupata Shahada ya Chuo Kikuu kwa mkopo toka HESLB bado kiingereza changu kina UKUNGU na ulimi bado mzito ajabu. Napata kigugumizi kikali nikijaribu kuongea kiingereza. Lawama nimtupie nani kati ya hawa?
1. Baba wa Taifa; kwa kuamua kiswahili iwe lugha ya taifa;
2. Mzazi wangu kwa kunipeleka shule za kayumba;
3. Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Muungano;
4. Ama NIJILAUMU mwenyewe kwa kutojibisha kupata maarifa kwa lugha Tajwa? kutwa kusoma migazeti ya udaku kwa kiswahili, na aina ya marafiki nilionao wasio leta changamoto yoyote.
5. Waziri mwenye dhamana!!!
Hapo na mm huwa pananipa tabu,kufikilia kwa kingereza
Hii lugha bhana ina watu wao..nakumbuka tulipewa suspension chuo baada ya mgomo,ile barua ya mkandala hakika iliandikwa kwa kingereza ambacho n ballaaa
Ila kusoma n kingereza n rahisi swqla kuongea
Mm naongea kinhereza kama navyo andika ku,pronounce nako majangaaa