zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,486
- 1,712
Yeah sure,sema.muda nao mkuu,wengine warishauli hata kutazama.moves zao sana.....ila tatizo mudaKiongozi ukitaka kukifahamu vizuri mpaka ukae na hawa jamaa wiki moja tu bila kiswahili tosha kabisa, Arusha wapo wengi sana kwenye mahoteli makubwa.
Kama hv tupo safarin,unakaa hapa siku chache tena safar kaz kweli kweli
Kikiwa na uhitaji zaid nitakikazia msuli,ila sasq my b kwa mbwembwe tuu