Umesema kweli tupu!Kwan kmekusaidia nn toka umejua au kutokujua??? Mbona simu yako umeiseti kwa kiingereza,,,weka kiswahili uone mtiti wake
natamani kwenda kusoma tena M.A lakini nikifikri kuhusu lugha nakata tamaa kabsaaaPamoja na kupata Shahada ya Chuo Kikuu kwa mkopo toka HESLB bado kiingereza changu kina UKUNGU na ulimi bado mzito ajabu. Napata kigugumizi kikali nikijaribu kuongea kiingereza. Lawama nimtupie nani kati ya hawa?
1. Baba wa Taifa; kwa kuamua kiswahili iwe lugha ya taifa;
2. Mzazi wangu kwa kunipeleka shule za kayumba;
3. Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi Muungano;
4. Ama NIJILAUMU mwenyewe kwa kutojibisha kupata maarifa kwa lugha Tajwa? kutwa kusoma migazeti ya udaku kwa kiswahili, na aina ya marafiki nilionao wasio leta changamoto yoyote.
5. Waziri mwenye dhamana!!!
Amini kuwa kiingereza unajua, ndo maana umeweza kufika hadi chuo kikuu. Hiyo shida ya kushindwa kuongea ni kutokana na kuto practice, Ukienda uingereza kwa muda wa wiki moja tu utarudi hapa Tz ukiwa very fluent.Pamoja na kupata Shahada ya Chuo Kikuu kwa mkopo toka HESLB bado kiingereza changu kina UKUNGU na ulimi bado mzito ajabu. Napata kigugumizi kikali nikijaribu kuongea kiingereza. Lawama nimtupie nani kati ya hawa?