Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,960
- 43,080
Huo ni upuuziNataka tutambue sasa ni aina gani ya wanawake tulio nao kizazi cha leo chukua somo

Unatunanga kwa hiyoUkitangaza kazi ya laki tatu mshahara kwa mwezi wanavyojaa sasa inbox sio wale tena wanaopush range
Mkuu,Wakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.
Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa👇👇 mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.
Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako👇👇👇
View attachment 2978369
Inasikitisha sana ukila mke wa mtu na wako ataliwa tuWakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.
Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa👇👇 mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.
Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako👇👇👇
View attachment 2978369
Mimi Ni kapuku (makapuku forum) na still nalipia usingizi yaan nipo nyumba za kupanga😂😂😂Siyo pisi kali tu bali njemba za hapa zote zina maisha mazuri zinasukuma Range Rovers na zina ma apartments Masaki na kwingineko. JF siyo ya Watanzania wa kiwango cha chini! 😁😁🚮
Siyo pisi kali tu bali njemba za hapa zote zina maisha mazuri zinasukuma Range Rovers na zina ma apartments Masaki na kwingineko. JF siyo ya Watanzania wa kiwango cha chini!
Ukitangaza kazi ya laki tatu mshahara kwa mwezi wanavyojaa sasa inbox sio wale tena wanaopush range
Jichanganye mkuuMkuu,
Technology imekua Sanaa 😊 sisi sio milima sisi Ni people tunatakutana..........
Usipende ku expose vitu vyako ovyo ovyo utajuta one day
Sikutishi nakwambia kwa Nia njemaa
huingii kwenye ndoa kwa ajili ya mtu,ni kwa ajili ya amri ya MunguWakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.
Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.
Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako
View attachment 2978369
Heeee umeshindwa kabisa kujikaza kiumeWakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo.
Asee mimi mwenyewe sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndo hawa👇👇 mimi siwezi asee alafu mme wake anajiweza sana wana life good sana sana sasa shida itakuwa kitandani.
Kama unajijua unaenda Mbeya leo muda huu kufanya kazi asee pole ndugu yangu huyu ndo mke wako👇👇👇
View attachment 2978369
Nimefanya iv kama funzo kwa wanaume ambao wanapambana wanavuja jasho ili familia zao ziishi vyema kumbe nyuma ya pazia ndo mambo kama hayaHeeee umeshindwa kabisa kujikaza kiume