sijui kama jf wanaliona hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sijui kama jf wanaliona hili

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by rosemarie, May 23, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kwa muda mfupi niliokaa hapa jf mimegundua na kujifunza mambo mengi,naomba yachukuliwe kama personal opinion!!!!!!

  Nimegundua ni ngumu jf kupiga hatua nyingine mbele kirahisi,kuna mambo mengi yamenisukuma kuandika haya,kwa mfano kuna member wamenisahauri niwe na id zaidi ya moja,eti wengine wana id mpaka tano,ninajiuliza swali moja,kwa nini member wawe na id nyingi??jibu nalopata member wanapenda jf lakini vilevile wanaogopa kupigwa ban,kwa hiyo akipigwa ban id yake anatumia nyingine,sijui kama fb owners wameliona hilo,matokeo yake jf wanahesabu members waliokuwa registerd kwenye database,kumbe wanaweza kumwesabu member mmoja mara 5, lakini wanafikiri ni 5 members,kwa utaratibu huo jf wanaweza sema wana member 30,000 lakini ukirudi kwenye ukweli member wanaweza kuwa nusu ya hao,kwa sababu watu wamerigister more than once.kubalini hiyo challenge,kwa nini iwe hivyo???

  Ningependa kuona jf inaprogress na kuwa kama skype hata mbele ya safari owner wanaweza kuitia sokoni kama skype ilivyouzwa kwa microsft kwa 8.5bil usd,walianza vizuri lakini walikubali challenge,

  Dunia yetu sasa hivi inaelekea kuwa kijiji kidogo sana,yaani kuwasiliana na mtu aliye Australia ukiwa Tanzania ni jambo dogo sana,vile veli mtu akiwa marekani au brazil mnawasiliana kama yuko karibu sana,tafuteni strategy itakayowafanya mjulikane haraka,microsft sasa inahaha inataka kukamata kila mahali,wakija Africa watataka kitu kama jf,mkiweza kuwauzia mtapata hela nyingi sana na ni matumaini yangu mtatengeza oppotunite kubwa kwa watanzani
  Jaribuni kuuza share,mkitangaza nitapenda kuisoma hiyo setup yenu,kama imekaa vizuri nafikiri nitaweza kutumbukia.

  Lakini sio rahisi kiviiiiiiiiiiiiiiiiiiile!!
  Thank you
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  huu mkwanja akiupata dogo Melo lazima aoe Coaster zima......
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa yangu ana id 6,mimi mhh
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jamaa yako au wewe?
   
 5. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Not sure how much money these guys are making so far, ndo maana bado wanapitisha
  bakuri kuomba omba pesa, Wanalazimika kuthink business zaidi.

  is there anything of this kind coming from Kenya, Uganda, they might think to go east africa
  as an internationaliation strategy.

  Otherwise, this is a business material and I can put here some money
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  ni ngumu sana kuregulate multiple ID ndo maana hata ndani ya Facebook kuna users wana ID zaidi ya moja..

  halafu nadhani members wanakuwa na ID zaidi ya moja kwa sababu nyingi ikiwemo kuwa na uhuru wa kupost mawazo tofautitofauti..
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndio maana siku hizi simuoni Gt kumbe anaingia na ID nyingine!!
   
Loading...