BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,329
๐๐๐๐๐๐๐๐halafu anaweza kulalama kwamba alitumia nguvu nyingi kumpiga na mito hivyo kachoka.
Tena anachubuka. Maana kama mtu anampiga mwizi na mto anahisi amemuumiza unaweza kuona alivyo mlaini .