Kuna muda natamani kuchepuka ila naogopa nitaleta maradhi ndan maana mpira mimi sitaki kutumia.Nimechagua kukomaa nae Mungu mwenyewe atatenda kituHaaahaa utaweza sasa? Au upate kamcheps
Aisee noma na nusu. Si uchakalike utafute gari yako mkuu iyo gari card anayo mwingine si saa yoyote unapokwa tu.Gar ninayo tayar siku nikilirudisha si ndo kwaheri yake? Rizk inakua kwishnay naanza upya kwingine
Kuna muda natamani kuchepuka ila naogopa nitaleta maradhi ndan maana mpira mimi sitaki kutumia.Nimechagua kukomaa nae Mungu mwenyewe atatenda kitu
Ulilimalizaje tatizo la kuumwa tumbo ukifanya sexy? maana na Mimi mpenz wangu ana ilo tatizo la kuumwa tumbo tukifanya sexy kesho tumbo lina muumaKesho yake
Nimelizoea tu dyudyu lake..Ulilimalizaje tatizo la kuumwa tumbo ukifanya sexy? maana na Mimi mpenz wangu ana ilo tatizo la kuumwa tumbo tukifanya sexy kesho tumbo lina muuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii gar ni yangu weweee ndo maana naendesha mie yeye anadandia magar ya watu..hata hivo nimechakarika kulipataAisee noma na nusu. Si uchakalike utafute gari yako mkuu iyo gari card anayo mwingine si saa yoyote unapokwa tu.
Siyo kweli! Kwa uwezo wake kama angekua mshamba wa nyapu angeshahonga kitambo huko mbona mi ndo wakwanza anatoa gar?Huyo jamaa yako ni mshamba wa 'maku'
Tulia wewe! Watu kama nyie mnastahili kushinda nyumba za ibada..hayo mawaiza yako ni kaz bure hapa..mie ndo mama mwenye gar na mida siyo mrefu biashara ananifungulia kwa mkono wake...unataka nini zaid?Hasira za nn? Kuzeeka utazeeka tu hata nisipokuambia, ni suala la muda tu hutakuwa na soko, hutamuona wa kukulipa pesa ili umpe uchi. Huo ndo ukweli hata kama huupendi.
Kuhusu mm inawezekana nimeshazeeka na nimeona wengi kama ww sasa hivi wana uzee wa tabu kweli sababu walidhani watafanya biashara ya uchi kwa muda mrefu.
JIPANGE KAMA BADO UNA NGUVU.
Akili yako haielewi. Nyumba ya ibada imetoka wapi. Ninachokwambia unakuja wakati utazeeka na kukosa soko na hakutakuwa na wa kukupa gari wala hela UJIPANGE LA SI HIVYO UTAISHI KWA TABU SANA.Tulia wewe! Watu kama nyie mnastahili kushinda nyumba za ibada..hayo mawaiza yako ni kaz bure hapa..mie ndo mama mwenye gar na mida siyo mrefu biashara ananifungulia kwa mkono wake...unataka nini zaid?
Sasa hapo akikuuzi kidogo ndoa chali tena unaivunja bila ya huruma. Wanawake wapewe uhuru wa kutongoza teh tehBora we mpenz ...mwenzio mume wa ndoa.Nilisema nitampendaga hukohuko kumbe ndo nimeshindwa jumla.Siyo kwamba anapesa kama wako ...noo Mimi kinachoshika hapa ni upendo wake tu yaan sijawahi on a upendo kama huu kiukweli
Yaaani ukichepuka ndani ndiyo utaona chefu kabisa, yaani utabaki hili nalo sijui vipi?Kuna muda natamani kuchepuka ila naogopa nitaleta maradhi ndan maana mpira mimi sitaki kutumia.Nimechagua kukomaa nae Mungu mwenyewe atatenda kitu
Muache mtu aishi maisha yake bhna!! Me sion sabab ya ww kumjudge, anatumia nafas yake vizuri😂😂Akili yako haielewi. Nyumba ya ibada imetoka wapi. Ninachokwambia unakuja wakati utazeeka na kukosa soko na hakutakuwa na wa kukupa gari wala hela UJIPANGE LA SI HIVYO UTAISHI KWA TABU SANA.
hayo mengine yote porojo.
Mm sijamjudge. Sijamwambia asitumie nafasi yake. Nimemwambia wakati unakuja hatakuwa na soko hivyo ajipange.Muache mtu aishi maisha yake bhna!! Me sion sabab ya ww kumjudge, anatumia nafas yake vizuri😂😂
Picha nishaweka mbona angalia vizuriPole sana...
Weka picha tuone vile unavyokua huna hisia... ili members wakupe muongozo vizuri...
Yaan kashupaza shingo utadhani yeye anajitambua bas lol..nimeona niachane naye tuMuache mtu aishi maisha yake bhna!! Me sion sabab ya ww kumjudge, anatumia nafas yake vizuri![]()
Tunatongozaga mbonaSasa hapo akikuuzi kidogo ndoa chali tena unaivunja bila ya huruma. Wanawake wapewe uhuru wa kutongoza teh teh
UmeonaaYaaani ukichepuka ndani ndiyo utaona chefu kabisa, yaani utabaki hili nalo sijui vipi?