Je unaweza kusikia raha ukilala na baba ako? Jibu ni hapAna
Wanaume wenzangu amini nawaambia zama zimebadilika mwanamke ukijaribu kumpa kila kitu kamwe hatakuja kuwa na hisia deep za kimapenzi na wewe maana hapo unakuwa km mzazi wake sio mpenzi wake.Hii ni saikolojia ndo inasema hivyo..
Saikolojia inasema wanawake wengi wana low self esteem by nature sasa na huu utandawazi tatizo limekuwa kubwa kupita zmn,enzi zile hamna internet.
Mwanamke mwenye low self esteem mnunulie pipi Atakupenda zaidi ya kumnunulia kiwanja au gari.Hili ni jambo muhimu sana wanaume kuzingatia mpe mwanamke thamani anayostahili otherwise atakuona mbu mbu mbu
Wanaume tumedhani ukimpa kila kitu mwanamke atakupenda ukweli ni kwamba inategemea anajiona ana thamani kiasi gani?ukiacha uzuri wao,wanawake wengi wanajiona wana thamani ndogo tena wengi kweli kweli sasa ukitaka kumpa kila kitu anakuona hili Jinga linawezaje kunipa kila kitu mwanamke mwenye thamani ndogo kama mimi???Hili litakuwa lina matatizo tu ngoja nilichunguze labda pua yake kubwa ndo sababu labda sababu sio mrefu sana labda sababu kibamia.Kwa thamani yake aamini km anaweza kupata mtu wa kumpa kila kitu....
Wanaume wengi wanaowapa kila kitu wanawake ndo wanaongoza kwa kukosolewa kwa mambo ya kijinga.Mwanamke kazoea anapewa 2000 ya nauli wewe unalala nae unampa 300k hivi unadhani atakupenda au atakuona mbu mbu mbu tu????
Km unaamua kumpa kila kitu mwanamke hakikisha ana high self esteem.Utanishukuru badae.