careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
- Thread starter
- #121
Haaahaaa umenichekesha! Hiv nadanga eemh? Ndiyo buahna kila kaz na changamoto yake..Daaah sasa mkuu kama hata romance nae huwezi najaribu kuimagine huyo jamaa ni mbaya kiasi gani aisee.
Unaishije na mtu usiempenda namna iyo
Apo kweli kila kazi ina ugumu wake pole ni changamoto kazini.
Kumbe kudanga nako kuna changamoto namna hii


