Sijui atamwambia wife?

Sijui atamwambia wife?

Nyie si mnaambiwa mtahahalishiwa viroba mnakubali, matokeo yake ndiyo hayo.

Kwanza acha pombe.
 
Kuna binam Wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana

Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo
Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule Dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo

Akageuka mbogo na kutishia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele
Ilikua ni Ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu
Na sijui hata anaondoka lini?

Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?

Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana

Kama mungu atanisaidia nipone hili jaribu naacha Tabia hii
Kuna mwenye jawabu nifanyeje??

Nyie ndo tunawaita MAFISI BABU
 
martins paul

Ya mwizi arobaini, ulikuwa umezoea kwa wageni wengine sasa arobaini yako imefika
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mume au? maana it sounds like you are a boy (unayebalehe).
 
Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana.


​UKIZOEA VYA KUNYONGA................???????????
 
Nyie ndo mnatufanya wake zetu wasituamini. akisoma story humu JF anajua wote ndo wale waleeee. Huwezi aminoi nimeshangaa sana juzi kati Shemeji mdogo kaja toka Arusha eti wife usiku anafunga mlango wa chumba fungo anaficha, namuuliza kwa nini hanijibu. Nikiwa naangalia mpira sebuleni usiki na yeye anakomaa mpaka mpira uishe kumbe sasa nimejua ahahahahaa anadhani na mie mzee wa TIP TOEING aka kunyatia hahahaaaha waifuuuuuuuuuuuuuuuuu duh salute kwako kwa wivu!!
 
Back
Top Bottom