rwataamabale
Member
- May 9, 2015
- 19
- 1
Wala sio ishu bwana mzee.,, Mimi sioni kizuizi u msikule! Acha woga hizo ni ishu ndogo sn. Kwanza binamu huyo ni wa mbali sn na wewe.
Kwa hiyo hata dada zako wakija ulikuwa unawafanyia hivyo hivyo?Kuna binam Wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana
Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo
Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule Dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo
Akageuka mbogo na kutishia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele
Ilikua ni Ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu
Na sijui hata anaondoka lini?
Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?
Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana
Kama mungu atanisaidia nipone hili jaribu naacha Tabia hii
Kuna mwenye jawabu nifanyeje??
Kumbe wewe she....good to knowHahahah daah wanaume bwana sijui Dna yenu ikoje wallah
Vipi mbona unaniquote wakati nilikuwa niko busy na Hornet?? Kwanini unanitukana??Wewe ulifikiri kila kuku akirushiwa mahindi anaingia bandani.... Nyambafu na bora angepiga kelele ili dunia nzima iujue u....uni wako. Wanaume wa namna yako hata urafiki nao sitaki maana mnarubuni haki za wanyonge kwa vihela vyenu vya anasa. Ee mola uwaongoe wanaume wooote wenye hii tabia mbaya ya ubazazi.
ongeza noti za kumi kumi tena
martin hii uzi yako ni ya mwezi umenichekesha mbayaKumbe wewe she....good to know
Vipi mbona unaniquote wakati nilikuwa niko busy na Hornet?? Kwanini unanitukana??
BTW wewe ni he/she?
ili mlokole asinyae eeheeee.....
Hahahaaa... kakumwagia shombo la jirani.
Nawe umezidi unakatisha katisha sana vichochoro vya wa watu yamekukuta yasokuhusu.
Pole sana.
Ya nne, Mwanaume huyu.
Hahahahaah.... najaribu bahati yangu... naweza kudondokewa na mchuchu.....
Ujahili jamanii mmmh !! uwenda wazimu au kichaa? martins paul rekebisha maadili yako!!