Sijui atamwambia wife?

Sijui atamwambia wife?

nimerudia tena The THE SAME UTUMBO

kasema huyo shem aliwaamsha nyumba nzima MEANS NA WIFE ALIAMKA
SASA UNATAKA KUTETEA UONGO?

Kuna mtu ame edit imejichanganya paragraphs
Ilikua inaeleweka vizuri tu asubuhi
Original ipo hivi
Nyumba nzima hawakuamka alimpigia magoti mlokole asiendelee kuongea kwa sauti watu wasisikie
Original version ilikua inaeleweka
 
Story yako nzuri sana,endelea na uo mchezo wala usiache
 
Kuna mtu ame edit imejichanganya paragraphs
Ilikua inaeleweka vizuri tu asubuhi
Original ipo hivi
Nyumba nzima hawakuamka alimpigia magoti mlokole asiendelee kuongea kwa sauti watu wasisikie
Original version ilikua inaeleweka

nani ka edit??
hivi unadhani inaeezejana hilo
bi mods tu au mwenye mada ana uwezo huo
by the way MUACHE UZINZI WAKE UMMALIZE kama ni kweli ila kama sio kweli utoto wa kutunga uongi hauna maslahi
 
Mtoa mada kama ni kweli basi una roho ngumu sana.




Acha tabia yako kabisa.
 
Hv hiyo pesa ulokua unawaonga hao wa2 si ungetoa hata msaada kwa yatima ukapata thawabu kwa mngu akakuponya ako ka ugonjwa kako fika mahal uone aibu ndgu
 
Mleta uzi suala la kuwa shemejio atakusemea kwa mkeo au laa,linahitji ramli ya hali ya juu.Ngoja nifuate vifaa vyangu wewe andaa kuku weupe pee...wawili.😀😀:beer:
 
Kuna binamu wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana.Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo. Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo akageuka mbogo.

Mlokole akaanza kunikemea hapo hapo
hia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele. Ilikua ni Ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu na sijui hata anaondoka lini? Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?

Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana kama Mungu atanisaidia nipone.hili jaribu naacha tabia hii kuna mwenye jawabu nifanyeje? Wakuu naomba kujibiwa.

Siku si nyingi utavunja ndoa yako wote tunapenda ngono ila wewe umezidi au uliandikiwa na daktari mazee daily du una pepo au tamaa gani hizo kila anayekuja unataka
 
Mleta mada kasema binamu wa mkewe kaumbika kuliko mkewe na anavutia sana. Hii ni kawaida kwa mwanaume kuvutiwa na wanawake wanawazidi kwa uzuri wake zao. Inaonekana mleta mada hata usingizi hakupata
 
Yaan nimecheka kwa sauti ucku wa manane oya icho kipande nakiweka kweny muv yangu na soon mtaiona
 
hata aibu hauoni kwa kua na tabia mbovu sana, ni kama unaka ibilisi kanapandiaha hamu na tamaa ukiwa kwako.

Nahamu mkeo awe ameambiwa, labda kashasikia mambo au anahisi mambo. Sasa kahakikishiwa na mlokole ambaye wameamua unaswe siku zinazo.

Ila jua kuwa umemdharitisha mkeo na hao wote ulio do nao hawatamuheshimu. Unatia aibu kabisa ndugu zenu nahisi hata nduguzo unalala nao.
 
huo ndio urijali kichana,ongeza dau upige muti huyo
 
he he he duniani kuna vituko aisee.. hiyo style ya kutanguliza hela ni mpya
 
hahaaaaaaaa kwel hata me nina ham mkeo ajue ili ujute vizur...
hapo mbona badoo.
 
Back
Top Bottom