Sijui atamwambia wife?

Sijui atamwambia wife?

kuna binamu wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana.sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo. Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo akageuka mbogo.

Mlokole akaanza kunikemea hapo hapo
hia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele. Ilikua ni ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu na sijui hata anaondoka lini? Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?

Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana kama mungu atanisaidia nipone.hili jaribu naacha tabia hii kuna mwenye jawabu nifanyeje? Wakuu naomba kujibiwa.

tabia uliyo nayo inatisha sana daah! Inasikitisha
 
hahahahahhaaaaa,,,, jamaa kanikumbusha mbali sana, ss mama alikuwa anategesha masufuria mlangoni kwa hg,,, ukinyatia usiku lazima uyagongeee.......sikiliza mziki wake...ahhahahahahahahaa...

noma kweli aibu nimeona mimi
 
Kuna binamu wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana.Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo. Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo akageuka mbogo.

Mlokole akaanza kunikemea hapo hapo
hia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele. Ilikua ni Ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu na sijui hata anaondoka lini? Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?

Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana kama Mungu atanisaidia nipone.hili jaribu naacha tabia hii kuna mwenye jawabu nifanyeje? Wakuu naomba kujibiwa.

Duh umenichekesha sana 😜😜😜😜😜
 
Nyie ndo mnatufanya wake zetu wasituamini. akisoma story humu JF anajua wote ndo wale waleeee. Huwezi aminoi nimeshangaa sana juzi kati Shemeji mdogo kaja toka Arusha eti wife usiku anafunga mlango wa chumba fungo anaficha, namuuliza kwa nini hanijibu. Nikiwa naangalia mpira sebuleni usiki na yeye anakomaa mpaka mpira uishe kumbe sasa nimejua ahahahahaa anadhani na mie mzee wa TIP TOEING aka kunyatia hahahaaaha waifuuuuuuuuuuuuuuuuu duh salute kwako kwa wivu!!

ahhhahhhhhhahhhhahh
 
Kwanini unakuwa mjinga kiasi hicho wewe unamuacha mke kitandani unafuata mgeni khaa!!! Ebu badilika mkeo hata kama kaambiwa amekusamehe koma kabisa huo ni udhaifu na ujuha nakama utashindwa kubadilika uwe unawapeleka guest tena kwa makubaliano sio unavamia chumbani na kijinoti mkononi.... Koma kabisa
 
Nyie si mnaambiwa mtahahalishiwa viroba mnakubali, matokeo yake ndiyo hayo.

Kwanza acha pombe.

Nakukumbuka sana,ikipita siku moja sijasoma ujumbe wako wowote humu jamvini,usiku wangu unakuwa mgumu sana kwani hata usingizi naupata kwa shida sana...
 
Hahahhahahahahhaha....aisee nimecheka,dah!kwa hiyo huwa unatembea na wekundu unaonyesha unapewa nafasi....ila naamini hatamuambia ni wewe kubadilika,hiyo ni ishara kuwa ulikuwa unapotea
 
God is watching you
unapata faida gani kuandika uongo????

HAPO UMESEMA ALIPIGA KELELE AKAWAAMSHA NYUMBA NZIMA
chini unasema
NARUDI HOME USIKU MAANA SIJUI KAMA SHEM KESHAMWAMBIA WIFE???

damnnnnnn unajielewa kweli kama alianza kupiga kelele katika nyumba moja ni wazi kwamba mkeo alisikia sasa iweje useme hujui kama keshamwambia wife
and by the way si mnalala pamoja nyinyi?????
unashindea kujua kwamba keshajua huyo mkeo????

Tafafhali ifanye jf kuwa sehemu salama kuna watu wanakuja huku wana shida kweli kweli.
 
Kuna binamu wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana.Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo. Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo akageuka mbogo.

Mlokole akaanza kunikemea hapo hapo
hia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele. Ilikua ni Ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu na sijui hata anaondoka lini? Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?

Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana kama Mungu atanisaidia nipone.hili jaribu naacha tabia hii kuna mwenye jawabu nifanyeje? Wakuu naomba kujibiwa.

Za mwizi ni arobaini,pole mkuu!!
 
God is watching you
unapata faida gani kuandika uongo????

HAPO UMESEMA ALIPIGA KELELE AKAWAAMSHA NYUMBA NZIMA
chini unasema
NARUDI HOME USIKU MAANA SIJUI KAMA SHEM KESHAMWAMBIA WIFE???

damnnnnnn unajielewa kweli kama alianza kupiga kelele katika nyumba moja ni wazi kwamba mkeo alisikia sasa iweje useme hujui kama keshamwambia wife
and by the way si mnalala pamoja nyinyi?????
unashindea kujua kwamba keshajua huyo mkeo????

Tafafhali ifanye jf kuwa sehemu salama kuna watu wanakuja huku wana shida kweli kweli.

Soma vizuri post Masai Dada umesoma haraka haraka
 
Back
Top Bottom