Sijui atamwambia wife?

Sijui atamwambia wife?

Kila mtu anapenda ngono haijalishi ni nani au wa jinsia gani lakini inapofikia unajigundua unapenda ngono kuliko kawaida ya wengine ujiulize sana ni lazima hauko sawa una pepo wewe na hiyo tabia haiwezi kuisha kwasababu kakukataa utaendelea tu kwakua we ni jasiri na wanasema Jasiri haachi asili.

We sio mzima wewe!!!
 
hata aibu hauoni kwa kua na tabia mbovu sana, ni kama unaka ibilisi kanapandiaha hamu na tamaa ukiwa kwako.

Nahamu mkeo awe ameambiwa, labda kashasikia mambo au anahisi mambo. Sasa kahakikishiwa na mlokole ambaye wameamua unaswe siku zinazo.

Ila jua kuwa umemdharitisha mkeo na hao wote ulio do nao hawatamuheshimu. Unatia aibu kabisa ndugu zenu nahisi hata nduguzo unalala nao.

Hii mada wangechangia wanaume tu ingenoga. Watoto wa kike hamjui utamu wa demu mpya.
 
Back
Top Bottom