Sijui ananipenda huyu!

Sijui ananipenda huyu!

anakushangaa huyu jamaa mbona anapenda kukaa kibarazani
 
Hapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact sana,kwa sababu nyumba zimetazamana,

mwanzoni nilidhani kuwa ni coincidence tu! ila nilikuja kugundua kuwa huwa anachukua muda mrefu sana kunitazama wakati nikiwa simuangalii, kwa sababu nikikutanisha naye tu macho huwa nagundua kuwa alikuwa ananitazama muda mwingi maana nakuta kazubaa kabisa na kaacha kufanya alichokuwa anafanya, halafu baada ya hapo huwa anakwepesha macho haraka sana na kuendelea na shughuli yake.

Kabla sijafanya maamuzi magumu naomba niwaulize kwanza wazoefu wa matukio kama haya, kwamba huyu ananifanisha na mtu au ananipenda..!
Hakna uzoefu kwenye kugegeda wake za watu yakikukuta utajutaa
 
Kukicha n ngono
Ucku n ngono
Asubuh n ngono
Mchana n ngono
Mtu anafua na mastrez zake
N ngono tu dhuuu

Trump wala hakukosea
 
Mleta uzi



Hujawhi kujiuliza ni kwa nn mwanamke ni vigumu kukupa jawabu la ndiyo baada ya kumtongoza ni kwa nn wanakaa wakati mwingine muda mrefu bila kukujibu mara nyingi wakisema nitakujibu baadaye?

Zamani nilikuwa najiuliza ni kwa nn wanapiga day tu ntakujibu ntakujib.

Kwa kawaida mwanamke huwa akula target anamaswali mengi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom