Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Hahahahaaa!!!!Kama ni mke wa MTU anza kutembea na mafuta ya KY
Hahahahaaa!!!!Kama ni mke wa MTU anza kutembea na mafuta ya KY
Matumizi madogo ndo yapoje MkuuMkuu huyo anakufaa kwa matumizi madogomadogo, wewe mkule tu...
Hapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact sana,kwa sababu nyumba zimetazamana, mwanzoni nilidhani kuwa ni coincidence tu! ila nilikuja kugundua kuwa huwa anachukua muda mrefu sana kunitazama wakati nikiwa simuangalii, kwa sababu nikikutanisha nae tu macho huwa nagundua kuwa alikuwa ananitazama muda mwingi maana nakuta kazubaa kabisa na kaacha kufanya alichokuwa anafanya, halafu baada ya hapo huwa anakwepesha macho haraka sana na kuendelea na shughuli yake.
Kabla sijafanya maamuzi magumu naomba niwaulize kwanza wazoefu wa matukio kama haya, kwamba huyu ananifanisha na mtu au ananipenda..!
DuhHapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact sana,kwa sababu nyumba zimetazamana, mwanzoni nilidhani kuwa ni coincidence tu! ila nilikuja kugundua kuwa huwa anachukua muda mrefu sana kunitazama wakati nikiwa simuangalii, kwa sababu nikikutanisha nae tu macho huwa nagundua kuwa alikuwa ananitazama muda mwingi maana nakuta kazubaa kabisa na kaacha kufanya alichokuwa anafanya, halafu baada ya hapo huwa anakwepesha macho haraka sana na kuendelea na shughuli yake.
Kabla sijafanya maamuzi magumu naomba niwaulize kwanza wazoefu wa matukio kama haya, kwamba huyu ananifanisha na mtu au ananipenda..!
Bakora bakora tuHakupendi bali anakutamani
Kupenda ameshampenda mume wake na kamwe hawezi amua kumuacha kwa ajili yako.
Anakutamani kama spea tairi tu
Kwa iyo ushauri wooote uo ndo umeona w maanaA word!
Ngoja nitingishe kiberiti kidogo...
Atakuwa anajiuliza huyu jamaa yeye kila siku kukaa kibarazani hakuna kazi anayofanya... atakuwa mwizi huyu...
na kweli MkuuYaani mnavoongea wanaume wa umu kaa sio nyie.... Wakati nyie wengi wenu mnatupm na tukiwaambia tumeolewa bado hamsikii. Acheni unafki semeni tu ukweliItakucost na wake za watu kwanza unaanza vip kuwaza kupendwa na mtu ambaye Tayari anamme wake? Amka ndugu
Heeeeunakaa tabata? huyo mke hana mtoto? af ana short dreads? kama ndo huyo nitafute....
msaide jiraniWatembee kwenda wapi!?Huyo anakupenda ila kwa kuwa ni mke wa mtu achana nae.. Mademu wapo wengi sio lazima mpaka utembee na mke wa mtu..
Anataka kukugeuza dili aka msukuleHapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact sana,kwa sababu nyumba zimetazamana,
mwanzoni nilidhani kuwa ni coincidence tu! ila nilikuja kugundua kuwa huwa anachukua muda mrefu sana kunitazama wakati nikiwa simuangalii, kwa sababu nikikutanisha naye tu macho huwa nagundua kuwa alikuwa ananitazama muda mwingi maana nakuta kazubaa kabisa na kaacha kufanya alichokuwa anafanya, halafu baada ya hapo huwa anakwepesha macho haraka sana na kuendelea na shughuli yake.
Kabla sijafanya maamuzi magumu naomba niwaulize kwanza wazoefu wa matukio kama haya, kwamba huyu ananifanisha na mtu au ananipenda..!
Ni vizuri kila akioanha kukutana nae akajipaka kabisa sehemu husika.Kama ni mke wa MTU anza kutembea na mafuta ya KY