Sijui ananipenda huyu!

Sijui ananipenda huyu!

hata mimi inanitokeaga kwa mtu ninaye mtamani, nikisema na mpenda nitakosea sababu nina mume ila kutamani kupo, na unatamani sawa sawa
Vitu gani vinakufanya umtamani mume wa mtu.. Vitatu tu.
 
Unaweza kuwaza meeengi tofauti kumbe anakushangaa jamaa vipi uyu ye atoki kutafuta??? Yaani we muda wote kibarazani uku wenzio wako bize unataka asikushangae
 
Itakucost na wake za watu kwanza unaanza vip kuwaza kupendwa na mtu ambaye Tayari anamme wake? Amka ndugu
 
Maamuzi gani? Ushasema mke wa mtu, endelea na yako mkuu! Tena mgeni hapo, hujui ata tabia za mumewe!!!
 
Kuna wake za watu wengine vimbelembele htr...ndo mana watu siku hawaoi
 
unajifanya kiboro dinda mbele ya wake za watu eeeeeeh

ngoja wakutengua kizazi na kwa ugumu huu wa maisha wahuni wanakupanda bila kilainishi
 
Hapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact sana,kwa sababu nyumba zimetazamana, mwanzoni nilidhani kuwa ni coincidence tu! ila nilikuja kugundua kuwa huwa anachukua muda mrefu sana kunitazama wakati nikiwa simuangalii, kwa sababu nikikutanisha nae tu macho huwa nagundua kuwa alikuwa ananitazama muda mwingi maana nakuta kazubaa kabisa na kaacha kufanya alichokuwa anafanya, halafu baada ya hapo huwa anakwepesha macho haraka sana na kuendelea na shughuli yake.

Kabla sijafanya maamuzi magumu naomba niwaulize kwanza wazoefu wa matukio kama haya, kwamba huyu ananifanisha na mtu au ananipenda..!
Kuwa makini mkuu list ya Mh kigwangala ya kina delicious haijajaaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom