Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
yan mm ndio nianze? Uko criaz?
more than serious.
Mdogo wangu dazipozi atakuta vumbi tu mwaka huu.
Patiently waiting...
yan mm ndio nianze? Uko criaz?
Olewa!
sante. Saiz wanaume wote siwaamini.
Hivi kuolewa haihitaji kujiskia kupendwa? Ni automatikale eh?
You are soooo HIRED.
Nione baadae!!
That diamond was rough
umei-polish
now everyone sees it
kilichobaki
tu-acknowledge aliye-polish tu
Hahaha. . .angalia tu usije ukafukuzwa harusini maana. . . . . . . !!!!
He he he
nikifukuzwa naondoka naye
naongea vile vilugha ambavyo huvipendi
mawifi mikosi sie
nimekwambia unanikejeli. Unamalzia maneno yako na (lol). Mm ni mpole c mjinga.
wivu sina ila roho inauma eeh
haya bwana
Mh maneno yako yana mvutooo! Umenigusa hata na mieSema unayopenda kufanyiwa. Sema vitu unavyovipenda. Sema sehemu unazopenda kwenda. Sema yote upendayo ili umpe mtu pa kuanzia.
Unapenda keki? Unapenda kwenda beach? Unapenda dhahabu au almasi? Unapenda maua? Unapenda chokleti? Unapenda manukato? Unapenda kuimbiwa? Unapenda kutomaswa? Unapenda kubusiwa?
nisaidien mawazo. Nifanye nn nipendwe?
GM