EVA, ni nini siri ya yeye kupendwa na Lodge nyingi hapa nchini?

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
431
825
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko (kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.

Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge ambazo nmepita bila ya kukutana na sabuni hii maarufu ya EVA hazizidi kumi(10).

Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani tujuzane hapa.

images%20(7).jpg
 
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko(kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.

Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge ambazo nmepita bila ya kukutana na sabuni hii maarufu ya EVA hazizidi kumi(10)..

Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani tujuzane hapa...View attachment 2907775
Imenifanya nihesabu lodge na hoteli nilizolala, kweli nimezurura duniani.
110???
 
Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani
Hizo walitengeneza kama Disposable Products. Yaani ukishatumia mara moja basi hutumii tena kwa mtu mwingine.

Package yake ni NDOGO, hivyo inafaa kwa matumizi ya mtu mmoja na akitumia. Na vile vile ina harufu isiyo kera.

Lodge huwezi kuweka SABUNI KUBWA ambayo mteja atatumia ikabaki, hio ni hasara. MAJUMBANI huwezi weka sabuni ndogo kwa kuwa sababu ya nyumbani watu wana share.
 
Ufafanuzi makini sanaa,, hv zinatengenezwa hapahapa Bongo au.??
 
Hizo walitengeneza kama Disposable Products. Yaani ukishatumia mara moja basi hutumii tena kwa mtu mwingine.

Package yake ni NDOGO, hivyo inafaa kwa matumizi ya mtu mmoja na akitumia. Na vile vile ina harufu isiyo kera.

Lodge huwezi kuweka SABUNI KUBWA ambayo mteja atatumia ikabaki, hio ni hasara. MAJUMBANI huwezi weka sabuni ndogo kwa kuwa sababu ya nyumbani watu wana share.
Uko sahihi mkuu
( Mpasuaji wa Manesi ) endelea kuwapasua manesi na usiwasahau na wakunga😂
 
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko(kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.

Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge ambazo nmepita bila ya kukutana na sabuni hii maarufu ya EVA hazizidi kumi(10)..

Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani tujuzane hapa...View attachment 2907775
Kipotabo!
 
sabuni ya dhambi hiyo, ni kumbukumbu ya dhambi kwa wengi sana hata wakilikuta hilo ganda barabarani.
 
Back
Top Bottom