Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,506
Jamani mwenye access na Mlimani TV amwangalie Dr Ulimboka sasa hivi anazungumza

Updates:

Hii ni habari iliyoandikwa na Tanzania Daima JumatatuOktoba 8 2012
 
Anawataka madaktari wawe watulivu katika kuendelea na kazi zao na wasichoke kudai haki zao
 
Kwetu network inasumbua xana tupeni habari mpya.
 
Ilikuwa ni katika Jarida la habari inarudiwa tena saa tatu unusu kwa wale ambao hawajaona usiku huu
 
Dr.ulimboka hata kama jamii ya tanzania yote haitatambua mchango wako naamini wachache wenye bahati ya kuwa na upeo wa kuchanganua mambo wanakukumbuka.Leo Muhimbili haina heparin wala warfarin halafu comment juu ya unyama uliofanyiwa na serikali ya kikwete unashabikiwa,shame on u tz people...iko siku mtafunguka na mtakatana mapanga zaidi ya rwanda..take it from me,miaka si mingi
 
asante kwa taaRifa ngoja nione anachosema
 
jamaa kawa mpole balaa...kweli magamba ni noma...
 
tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…