lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu.
Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza.
1, Jeshi la Polisi nimefika mahali limezidiwa na wahalifu?
2. IGP yuko wapi?
3. Yaelekea kama wasemavyo wapinzani kuwa Polisi inafanya kazi za CCM na JWTZ wanapambana na uhalifu?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app