Sijawahi sikia Mkuu wa Majeshi akitoa tamko kwa mambo ya ndani ya nchi

lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
965
1,000
Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu.

Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza.

1, Jeshi la Polisi nimefika mahali limezidiwa na wahalifu?

2. IGP yuko wapi?

3. Yaelekea kama wasemavyo wapinzani kuwa Polisi inafanya kazi za CCM na JWTZ wanapambana na uhalifu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wilbert peter

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
244
250
Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu.

Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza.

1, Jeshi la Polisi nimefika mahali
limezidiwa na wahalifu?

2, IGP yuko wapi?

3, Yaelekea kama wasemavyo wapinzani kuwa Polisi ni policcm,kwa maana ya kufanya kazi za ccm,na jwtz wanapambana na uhalifu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Njombe kaenda kama mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na usalama...hajaenda kama mkuu wa majeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,483
2,000
Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu.

Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza.

1, Jeshi la Polisi nimefika mahali limezidiwa na wahalifu?

2. IGP yuko wapi?

3. Yaelekea kama wasemavyo wapinzani kuwa Polisi inafanya kazi za CCM na JWTZ wanapambana na uhalifu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani pia si msemaji wa masuala yanayohusu korosho?
 
Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
5,279
2,000
Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu.

Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza.

1, Jeshi la Polisi nimefika mahali limezidiwa na wahalifu?

2. IGP yuko wapi?

3. Yaelekea kama wasemavyo wapinzani kuwa Polisi inafanya kazi za CCM na JWTZ wanapambana na uhalifu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mjinga mmoja anapenda sana kutumia jwtz hata kwa mambo ya kawaida yasiyowahusu
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,997
2,000
Mimi naamini kuwa WIZARA ya mambo ya ndani kupitia jeshi la Polisi ni chombo madhubuti kabisa kuhakikisha inakomesha uhalifu wowote utakaotoke ndani ya nchi yetu.

Imenishangaza,Leo kusikia tamko la mkuu huyo huko njombe,nikajiuliza.

1, Jeshi la Polisi nimefika mahali limezidiwa na wahalifu?

2. IGP yuko wapi?

3. Yaelekea kama wasemavyo wapinzani kuwa Polisi inafanya kazi za CCM na JWTZ wanapambana na uhalifu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana lina itwa Jeshi la wanainchi na lina ujuzi wa mambo mengi ambayo hatuwezi kuyaweka hadharani
 
Kilwa94

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,924
2,000
Ni sawa ila matamko angemwachia IGP, Hawezi jivua ukuu wa majeshi na kujivika uenyekiti kwenye mambo ya ndani. Ingebakia ushauri wa ndani ya kamati tu. Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa aneshikilia usalama wa nchi against external threats.
Pia moja ya kazi za Jwtz ni kushirikiana na mamlaka za kiraia katika majanga mbali mbali.

Kama unaakili timamu nahisi hapa utakuwa ukomo wa ubishi.5/5
 
mhanila1

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
756
1,000
Atakuwa ametumwa na yeye hawezi kujiongeza. Lakini kwa kadiri litakavotetewa huo utaratibu hauko sawa sawa kwanza huyo hatakiwi kuwa anaongeaongea Mambo hayo ya kisiasa na kukubali kutumika kisiasa. Sijajuwa kwanini hawezi kusema hilo siyo eneo lake la majukumu ya kazi na hana utaalam nalo. Kwa utaratibu kama ni jambo kubwa angekwenda IGP, Waziri mwenye dhamana, Waziri Mkuu, Makamo wa Rais na ikibidi Rais mwenyewe lakini siyo CDF
 
Nnyindojihadini

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
644
500
Ndio umesikia hivyo. Hata kibiti tatizo lilimalizwa na polisi peke yao. Ulitaka wafe watoto wangapi ndio ihalalishe CDF kutoa tamko.
 
ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,471
2,000
Ni mengi sana ambayo hujayasikia/ona. Hata basi la mwendokasi ni jipya, flyovers ni mpya,ndege kuvanish in air,kama haitoshi kutawaliwa na jiwe!au mtu kupigwa risasi 30 asife, yaani ni meeeeeeengi. Unapoyasikia mshukuru Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mjanja wa kijiji

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
987
1,000
lakini huyu mkuu wa majeshi kuonekana kwenye vyombo vya habari anapenda sana hebu kumbuka lile suala la Tundu lisu na kibiti alivyokuwa anavyoyatolea taarifa, I don't know labda anajiandaa kuwa mwanasiasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom