Sijawahi kutongoza mpaka umri huu

Sijawahi kutongoza mpaka umri huu

Try to socialize with friends,both men and women,stay close to them,and see how it works!
 
Ccm mmetufikisha hadi hapa yaani mtu 25's hajui kutongoza halafu bado mnaona ni kitu cha kawaida hapa mabadiliko lazima yatokee

ccm out

Cc nifah
 
Last edited by a moderator:
Hofu + woga = impossible...

Na siku moja ukifanikisha hili.... Ukapata huyoo mwanamke...
Basi utaanzisha uzi wa kuomba jinsi ya kuomba show kwa huyo manzi...

Na siku ukifanikisha kupiga hiyo show... Am sure utaanzisha uzi mwingine wa kuomba msaada " kuhusu kumaliza after 5 seconds"

(hata mke/ mume walianza na uboyfriend / u girlfriend)

si ndo mahala pake ntarudisha mrejesho kwa kila hatua
 
Mkuu Gobe kwa mfano hapo kwenye bluu ningeomba ufafanue ni kwa nini utoke jasho ukiongea na wanawake? maana sote tunajua kuwa kutokwa na jasho tu ukiwa unaongea na mtu wakati hali ya hewa iko shwari basi tunajua kuna tatizo, na mara nyingi ni dalili ya hofu/uoga, je huwa una hofu/ogopa nini?

Nikiendelea zaidi naweza kusema pia uoga/hofu ya kufanya jambo fulani inatokana na inferiority complex(unyonge moyoni) yaani mtu anakuwa anajisema au kujiona yeye sio bora kuliko wengine(kujidharau) wakati sio kweli.

Watu watakupenda na kukuthamini pale tu utakapojipenda na kujithamini wewe kwanza. Hofu yako inajengwa na mtazamo wa kwamba mwenzako ni bora kuliko wewe na sio wewe ni bora kuliko mwenzako ndio maana unakuwa na mashaka na approach zako kwao.

nina uwoga sana kweny opp. sex na ku socialize ninajaribu sana but nimeshindwa nikijaribu ni dakika mbili tu nakosa cha kufanya then akili inakosa amani kabisa inabidi nijiondokee kwa aibu........cha zaidi ni kwamba nikutana na opposite sex nakosa amani ya mwili na akili najaribu kujikaza but nashindwa na dalili ya kushindwa ni jasho linanitoka jingi sana
 
Last edited by a moderator:
Hii baitaji darasa, muda ukifika utajua tu. natural events
Ukifundishwa unaweza geuka kuwa FATAKI
 
ahahah nmetoka kupokea ujumbe sahivi " funguka bibie ule vyako mi ntakutunza ucjali' nafungua jamii forum naona huu uzi jaman maiaha yana raha yake bahna.

Mwambie akupe kwanza ndo ufunguke
 
Tatzo lako hujiamin na eiza muonekano au unajishusha thaman ya utu wako thus y unafikia kipnd cha kuwapa thaman wao kulko nafsi yako kwanza: hiyo inapelekea ww kukosa confidence
 
Back
Top Bottom