Sijawahi kutongoza mpaka umri huu

Sijawahi kutongoza mpaka umri huu

nina uwoga sana kweny opp. sex na ku socialize ninajaribu sana but nimeshindwa nikijaribu ni dakika mbili tu nakosa cha kufanya then akili inakosa amani kabisa inabidi nijiondokee kwa aibu........cha zaidi ni kwamba nikutana na opposite sex nakosa amani ya mwili na akili najaribu kujikaza but nashindwa na dalili ya kushindwa ni jasho linanitoka jingi sana

Wewe wala sio introvert na hata kama una hiyo trait bado tatizo kuu ni aibu. Kuna jambo au mambo yaliwahi kukutatiza au kukutatiza kwa sasa kutoka kwa hao unaowaogopa, kama kweli yapo yaweke hapa usaidiwe au kama unaona sio vema njoo pm n
unieleze nikusaidie.
 
Eeeeeh ni gift hiyo kutoka kwa Jah umepushiwa mengi kijana usiforce ndivo ulivoumbwa kijana usitake kuiga watu kuwa na michepuko kibao wakati asili yaki haiko ivo mm nilikuwa hivo mpaka leo inanitokea nikikaa na demu kwenye daladala moyo unaenda puta.

Suluhisho Jenga urafiki na unae mtaka ili uondoe uoga mm naamini hata kazini wapo wasichana wazuri na huwaogopi wala aibu huna kwa sababu ushawazoea na upo kiurafiki nao so tumia njia hiyohiyo kumzoea na jenga urfiki kisha jiforce kusema lililo moyoni.
 
unashiriki mapenzi ya jisnsia moja ?
ulishawahi wahi kujaribuuu..
ukiogopa come inbox
 
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana, yaani naweza tetemeka nikikutana nao.

Wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nikazeeka bila kupata mchumba.

Nilishawahi fungua uzi wa jinsi ya kutongoza but mlinipa mbinu cha kushangaza.

Practice ni ziro au nina tatizo?

NB: Nina maanisha (serious)

Mbona mi sijui kutongoza lakini totoz nakula?hapo dawa ni kutoa hyo aibu ndo kikwazo kikubwa.
 
Si ndo hapo... Wanaume wanadhani kila mwanamke ni sha sha fastaa, wengine full kujiheshimu. Eboo

mademu wenye kauli kama hizi asilimia kubwa ndio maji malamoja yani akitongozwa tu chupi inalowana.

amna kitu kabisa eti msimamo.
 
siku hz hamna kutongozaga.omba tu namba ya cm mambo kwisha
 
Acha kutuabsha wanaume ta.k.o ww... yan hujui kuongea hata kutoa hela... baki ivoivo tu
 
Hilo ni tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi (japo mimi sipo katika hilo kundi), Shida kubwa ni kutokujiamini kwa mwanaume mwenyewe. Kitu ambacho hatujui wanawake wengi nyege zinawauwa, wanatembea wakiomba watongozwe. Lakini ndo hivyo sasa, wanaume majasiri ni wachache. Ngoja nikupe mbinu kadhaa zilizonisaidia mimi, inawezekana sio zote zikakufaa, lakini zinaweza kukusaidia
1)Mwanaume rijali inabidi ujiamini, uwe na self confidence. Ujiamini kuwa ukiamua unaweza
2) Mwanaume halisi unatakiwa uwe na uthubutu, sio kweli kwamba wanawake wote utakao watongoza utawapata, kuna wengine utawakosa, hilo lisikutishe wala kukuondolea confidence
3) Kigezo cha kuzingatia unatakiwa kuwa smart, wanawake wengi wanapenda wanaume smart, vaa nguo zenye hadhi na uwe msafi. Wanawake wengi hawapendi wanaume ambao wapo rough rough
4) Kabla ya kutongoza ni vizuri umjue huyo mtu vizuri, japo sio lazima. Lakini kama unaishi nae mtaani au mnakutana mara kwa mara, ni vizuri kumjua anapendelea nini, hapendi nini, marafiki zake ni wa aina gani. Maana marafiki zake wanareflect tabia zake. Kama ni sister duh au changu nk
5) Tongoza kwa maneno machache, sound nyingi hazisaidii. Mwambie how u feel, na unatamani uwe nae. Wanawake wa siku hizi hawataki sound mingi, mauwongo ambayo akikuangalia haviandani na wewe
6) Kama umetoka nae out, inafaa zaidi wewe uwe msikilizaji zaidi kuliko kuwa muongeaji mkuu. Wanawake wanapenda mwanaume anaesikiliza feeling zao bila kuwa judge. Katika kumsikiliza utagundua mengi anayoyapenda na asiyoyapenda. Unatakiwa uwe mstaarabu kwa maneno na vitendo
7) Inatakiwa uwe mtu wa kumjali kama mmeishajenga ukaribu na unasubiri kukubaliwa. Na hata baada ya kukubaliwa. Wanawake wengi wanapenda mwanaume anaejali.
8) Inabidi uwe na fedha, hata kama ni kidogo. Lakini sio kuwa empty kabisa. Bila pesa siku hizi ni ngumu. Japo sio kigezo. Fedha pia inaongeza self confidence, japo usiitangulize kama unataka kununua mtu. Inapofikia mahali kuna udhia, unapenyeza rupia.
Ni hayo tu, wenzangu wataongeza mengine
 
Khaaa! Naomba nikujibu hapo kwenye red huko kwingine hakunihusu....my dia hakuna mwanamke asiyetongozwa..hata awe vipi. Anaweza kuwa yuko singo ndio ila lazima kuna mtu ambae yuko pending ni kiasi cha kumwambia tu 'you come over'....unaweza kukosa mtu wa kukuoa ila wa kukugegeda mmmmhhhh...sidhani
 
Afadhali umenisaidia kumuelewesha huyo.... Mwanamke hata awe mbaya kiveepe kutongozwa + kugegedwa muhimu! Hana uhakika na anachokisema.
 
Back
Top Bottom