500,000|=
Kipato chako tafadhari????
Hutoitaji kutongoza utatongozwa hadi ushangae.umemjibu vizuri dada
Umenikumbusha mbali sana Boss,me nakumbuka nilipewa hadi special training ya namna ya kutongoza lkn kila nikikutana na baby mistari yote niliyofundishwa ina evaporate halafu moyo unadunda balaa.Usifanye mchezo na kutongoza wewekutokea inataka moyo, kiukweli hata mimi mara ya kwanza ilinipa tabu lakini nilivyoweza mara moja tu basi hofu yote ikanitoka na gari likawaka ilifika kipindi kwa siku natokea hata mademu 10 yote kujifurahisha tu huku nikijiona ni jinsi gani nilivyokuwa boya kuogopa kitu kidogo kama hicho, we jivike ujasiri tongoza, tena akheri yako wewe upo kwenye hizi zama za simu unaweza ku-call ukayajenga, mi kipindi hicho ilikuwa face to face yaani we acha tu Mkuu
yaani moyo unadunda unajihisi presha inapanda presha inashukaUmenikumbusha mbali sana Boss,me nakumbuka nilipewa hadi special training ya namna ya kutongoza lkn kila nikikutana na baby mistari yote niliyofundishwa ina evaporate halafu moyo unadunda balaa.Usifanye mchezo na kutongoza wewe
Balaa Chief, mpaka nikaamua kumwandikia barua tu though it was very risk at school.yaani moyo unadunda unajihisi presha inapanda presha inashuka