Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
- Thread starter
- #21
Kipato chako tafadhari????
Hutoitaji kutongoza utatongozwa hadi ushangae.
500,000|=
Kipato chako tafadhari????
Hutoitaji kutongoza utatongozwa hadi ushangae.
Khaa!! Hiyo kazi nzuri uliipataje bana??Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana.....yaani naweza tetemeka nkikutana nayo
wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nkazeeka bila kupata mchumba. Nilishawahi fungua uzi wa jinsi ya kutongoza but mlinipa mbinu cha kushangaza practice ni ziro au nina tatizo?
NB: Nina maanisha(serious)
Mpesa outscores words...
Huitaji kujifunza kupoteza muda bossi, jifunze kuruhusu opt ya "bonyeza 1 kuthibitisha"
Ccm mmetufikisha hadi hapa yaani mtu 25's hajui kutongoza halafu bado mnaona ni kitu cha kawaida hapa mabadiliko lazima yatokee
ccm out
500,000|=
mkuu umetisha hadi hukuuuuccm mmetufikisha hadi hapa yaani mtu 25's hajui kutongoza halafu bado mnaona ni kitu cha kawaida hapa mabadiliko lazima yatokee
ccm out
Gobe huwa unatoa post za kufa mtu humu jamvini+ kutoa maushauri ya mapenzi daah kumbe una weakness ndogo kiasi hichi! Staki kuamini
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana.....yaani naweza tetemeka nkikutana nayo