Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Na kutongozwa je?
Kama hajawahi unataka umrubuni mfahamiane?
Na kutongozwa je?
Pitia bandiko hilo hapo chini.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...no-na-mwanaume-mwenye-tabia-ya-upekepeke.html
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana, yaani naweza tetemeka nikikutana nao.
Wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nikazeeka bila kupata mchumba.
Nilishawahi fungua uzi wa jinsi ya kutongoza but mlinipa mbinu cha kushangaza.
Practice ni ziro au nina tatizo?
NB: Nina maanisha (serious)

asante ndugu nimelisoma lote nadhani kuna ukweli kabisaa
Kabla sijajitegemea nilikaa kwetu na msichana mmoja wa kazi baada ya kuondoka huyo msichana alimwambia baba yangu kuwa, mimi mwanaume wa ajabu sana naogopa wanawake na siongeagi naye kabisaa sasa but hilo nami nimeliona kama tatizo mkimya sana mpaka wale rafiki wangu wa karibu wananiambiaga nina tabia za ajabu. mf kukaa mwenyewe, si shirikiani nao, kuongea na wanawake jasho linanitoka nk kwa kifupi ndo ivyo........kama kuna njia ya kuchange pls naomba link nijifunze
Hama huko hamia huku kwetu utatuona.Hehehee watu wanaotongoza kwa staili hii mbona huku mtaani kwetu hawapo?