Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.
Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi
Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa
Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.