Inaonekana hata tafsiri halisi ya upinzani huijui ndugu yangu. Hapa unaonekana kulewa na mahaba ya kichama kama siyo kwamba na wewe umeshapewa rushwa kuyaandika haya yasiyo na mashiko. Kwa taarifa yako, kazi ya upinzani popote duniani ni kutafuta loop hole za chama kilichoko madarakani haijalishi ni ndogo kiasi gani. Upinzani huwa ni jicho la pili. Tatizo walililo nalo wapinzani hapa Tanzania ni kwamba watawala hawataki kukosolewa. Hivi kwa akili yako ulitaka upinzani ukubaliane na serikali kwamba ndege haijakamatwa ilhali imekamatwa? Ulitaka wakubaliane na serikali kwamba tuvunje mikataba ya wawekezaji kwa kuwa tu kwa kufanya hivyo ndo unaonesha uzalendo hata kama baadae utatakiwa kulipa mamilioni ya dola kama fidia? Nafikiri kuna watu wanatazama mambo kimahaba na hao ndo kundi lile linaloshangilia kupigwa risasi kwa Mh. Lisu, ndo kundi linaloshangilia kukamatwa kwa viongozi na wabunge wa upinzani wanaosema ukweli, ni kundi linaloshangilia mabango ya kuongeza muda wa ubunge huku wao wakiwa wamekaa chini ya nguzo za umeme wakiomba wapita njia wawape hela ya kula mchana eti "hali ngumu!!" Cha kusikitisha, kama wapinzani wanayoyafanya ni kutetea wahujumu uchumi mbona msukuma amepandishwa mahakamani wakati anamsaidia rais kupambana na wezi wa raslimali? Cha ajabu, hakuna ambaye ameandika chochote kupongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata madiwani na Msukuma. Unajua tafsiri yake? Kabla hujaandika chochote tafakari kwanza...Pen Down!
Usijali watatulizwa tu..mwanaume yupo kazini..
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.
Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi
Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa
Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
Hao wazalendo walio ndani ya CCM ni wapi??
1.Hawa walionunua Kivuko kibovu (cha mwaka 1948) kwa bilioni nane??
2.Waliopistisha Sheria mbovu za madini na gas?
3.Waliosainisha Mikataba mibovu ya madini na gas?
4.waliojenga barabara substandard
5.Hawa wanaoua,kuteka na kutesa Raia kwa sababu ya kukosolewa.
6.Wezi wa Raslimali zetu??
Unaongelea wazalendo wepi??Msitake kuendelea kufikiri watanzania ni wapumbavu kila siku,mjue mnakera sana,tena mwambieni anayewatuma kuandika utumbo mitandaoni aache mara moja.
Tanzania miaka 55 ya Uhuru chini ya CCM bado ni masikini ya kutupwa ilhali watawala matajiri mpaka wanakufuru
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.
Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi
Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa
Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
Unaongelea historia, cha kushangaza hao unaowasema wapo nanyi huko kwenye meza yenu; Lowasa, Sumaye
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.
Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi
Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa
Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
Kwani umefanikiwa kuishi nchi ngapi za hapa duniani tofauti na Tanzania?...

Hao si wapinzani ni wahuni wachache waliojificha kwenye siasa na demokrasiaHabari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.
Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi
Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa
Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
Waambie chama tawala wasiibe rasilimali za umma ili hao wapinzani wakose hoja. Nadhani hii ndo suluhisho. Sio kulaumu wasiohusika.Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.
Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi
Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa
Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.
Bora wahuni kuliko wewe si riskHao si wapinzani ni wahuni wachache waliojificha kwenye siasa na demokrasia