Sijawahi kushuhudia wapinzani wa aina hii katika maisha yangu

Inaonekana hata tafsiri halisi ya upinzani huijui ndugu yangu. Hapa unaonekana kulewa na mahaba ya kichama kama siyo kwamba na wewe umeshapewa rushwa kuyaandika haya yasiyo na mashiko. Kwa taarifa yako, kazi ya upinzani popote duniani ni kutafuta loop hole za chama kilichoko madarakani haijalishi ni ndogo kiasi gani. Upinzani huwa ni jicho la pili. Tatizo walililo nalo wapinzani hapa Tanzania ni kwamba watawala hawataki kukosolewa.

Hivi kwa akili yako ulitaka upinzani ukubaliane na serikali kwamba ndege haijakamatwa ilhali imekamatwa? Ulitaka wakubaliane na serikali kwamba tuvunje mikataba ya wawekezaji kwa kuwa tu kwa kufanya hivyo ndo unaonesha uzalendo hata kama baadae utatakiwa kulipa mamilioni ya dola kama fidia? Nafikiri kuna watu wanatazama mambo kimahaba na hao ndo kundi lile linaloshangilia kupigwa risasi kwa Mh. Lisu, ndo kundi linaloshangilia kukamatwa kwa viongozi na wabunge wa upinzani wanaosema ukweli, ni kundi linaloshangilia mabango ya kuongeza muda wa ubunge huku wao wakiwa wamekaa chini ya nguzo za umeme wakiomba wapita njia wawape hela ya kula mchana eti "hali ngumu!!"

Cha kusikitisha, kama wapinzani wanayoyafanya ni kutetea wahujumu uchumi mbona msukuma amepandishwa mahakamani wakati anamsaidia rais kupambana na wezi wa raslimali? Cha ajabu, hakuna ambaye ameandika chochote kupongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata madiwani na Msukuma. Unajua tafsiri yake? Kabla hujaandika chochote tafakari kwanza...Pen Down!
Umemaliza kaka,kamata BALIMI bardiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ntalipa
 
Upinzani Tanzania ni pasua kichwa maendeleo kwao ni sumu kilakitu kupnga ,ila Kwa neno upinzani cshangai
 
hamuwezi kuingia hata kwa dawa zaid ya kupoteza idadi ya viti bungeni

Hata historia ya idadi ya wabunge wa upinzani hujui kama inaongezeka au inapungua.......
Kama viongozi wa serikali hawana akili lazima watukanwe tu kwa tafsiri wa wajinga, na kwa tafsiri ya wenye akili ni kuambiwa ukweli......
Mnachojua ni kunyonya damu, mkiongozwa na Mumiani mkuu......
 
Hivi nyie wakina dada na akina kaka poa mnaoandika kuikashifu CCM na rais wetu Magufuli kwa kazi anayopiga ya kupambana na wezi wa rasilimali za nchi hii mko upande upi wa vyama? Sijawaelewa kabisa unless mniambie hamuungi mkono chama chochote cha siasa nitawaelewa. Lakini kama mko kwenye vyama vilivyopo tanzania basi lazima mtakuwa mna utindio wa ubongo si bure. Na albadir yenu itawabomoa zaidi safari hii.

Lakini pamoja na yote hayo Magufuli hajawahi kusema kuwa CCM ni safi hata siku moja na bado anapambana na wana ccm wenzake waovu kama wale walioko CDM, CUF n.k.

Kwahiyo msitake kujifanya kilasiku kukosoa tu bali mjifunze pia kupongeza.

Niwatakia biashara njema naona giza ndo limeanza hili.
 
Baada ya kushindwa kufanya kilichosahihi mmekuja na porojo.Kubalini ndiyo mliyoarrange wale waliomrushia risasi Lissu.

To many of us Lissu is real a role model of Mzalendo.Wengine wote ni wachumia tumbo.

Wanajifanya wanaumia sana kumbe wapigaji tu.Tumeona Kivuko Kibovu kikosa maelezo,International airport pesa zinapigwa tu kisingizio maendeleo kumbe mnaendeleza matumbo yenu.

Hakuna ndani ya CCM mwenye moral authority ya kujiita MZALENDO ndiyo sababu mnatumia SMG badala ya hoja.

Miaka 55 CCM ilichoweza kufanya na kufanikiwa ni MAUAJI,UTEKAJI na UTESAJI.
Inawezekana hujamfuatilia huyo Lisu wako na wala hajapewa dhamana ya kusimamia kodi za hii nchi
 
Yaani wapinzani ambao hawaruhusiwi hata kukusanyika kwa sala wamekwamisha maendeleo gani tena?? Naona vita imekuwa kali mpaka makamanda wamechanganyikiwa wanasema maneno ya ovyo ovyo..
 
Hivi nyie wakina dada na akina kaka poa mnaoandika kuikashifu CCM na rais wetu Magufuli kwa kazi anayopiga ya kupambana na wezi wa rasilimali za nchi hii mko upande upi wa vyama? Sijawaelewa kabisa unless mniambie hamuungi mkono chama chochote cha siasa nitawaelewa. Lakini kama mko kwenye vyama vilivyopo tanzania basi lazima mtakuwa mna utindio wa ubongo si bure. Na albadir yenu itawabomoa zaidi safari hii.

Lakini pamoja na yote hayo Magufuli hajawahi kusema kuwa CCM ni safi hata siku moja na bado anapambana na wana ccm wenzake waovu kama wale walioko CDM, CUF n.k.

Kwahiyo msitake kujifanya kilasiku kukosoa tu bali mjifunze pia kupongeza.

Niwatakia biashara njema naona giza ndo limeanza hili.

Mkuu, huu mchezo wako wa kufikiri kinyume nyume inabidi uuache. Kuna watu hawaipendi na wala hawakubaliani na kinachoaminiwa na kufanywa na CCM. Huko ndiko unakuita kuikashufu? Yaani wewe kwa akili yako ndogo unafikiri watanzania mil 50 wote wanaweza kuwa wanachama au wapenzi wa CCM??? Hata Kanisa Katoliki (Pamoja na kuwepo kwa miaka zaidi ya 1500 kabla ya makanisa mengi ya kikristu) halijaweza kuwafanya watu wote kuwa Wakatoliki, ije kuwa CCM?
 
Ndugu mleta mada umefufuka lini..??
Yaani nyie hao ndo mliliingiza taifa kwenye majaribu na hasara zote hizo..
Mkiambiwa mnalitia taifa hasara mnajenga hoja kwa mabomu na risasi..
Mnapenda kusifiwa tu na si kukosolewa.. Wapinzani wakiwasusia pia mnalalamika.. Nyambafu kabisa..!!
Listen imbecile maggots; watanzania wanazidi kuelewa adui yao ni nani.. Na ipo siku watawatenda..!!
 
Habari wakuu,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama naouona kipindi hichi Tanzania.

Unaweza kutoa mifano ya wapinzani wanaotetea wala rushwa?
 
Subiri waporosha matusi waje, ni hoja nzuri sana kwa wananchi wazalendo....

Una mafilifili kichwani mwako?kwann unashindwa kujua maana halisi ya neno Mzalendo?
kwa nchi hii kuna wazalendo wawili tu wamewahi kutokea
1.Tundu lissu a.k.a bin Toboa mambo

2.Mwl Jk,Nyerere
 
Kweli mwenye uz ni tahira Kama sio mpumbavu wa kupitiliza, ufisad ndani yanchii hii umeletwa na wapinzani?, huyo anaejvisha ngoz ya binadam kumbe mbwa mwitu si alikuwepo bungeni wakat wapinzani wanalia na mikataba feki aliwahi kuunga mkono wapinzani katka kutetea raslmali?. Hakuna kipya ndani ya kijani wote wapumbavu kupitiliza na ww mpumbavu Mara sabini
 
Tatizo wapinzani mkiambiwa ukwel hamtaki kusikia wanannchi tumewachoka badilikeni kwa hoja nyepesi za matukio ikulu hamuwezi kuingia hata kwa dawa zaid ya kupoteza idadi ya viti bungeni

Na hata mashoga wakiambiwa kweli hawataki kukubari kama wao ni mashoga
 
Kweli mwenye uz ni tahira Kama sio mpumbavu wa kupitiliza, ufisad ndani yanchii hii umeletwa na wapinzani?, huyo anaejvisha ngoz ya binadam kumbe mbwa mwitu si alikuwepo bungeni wakat wapinzani wanalia na mikataba feki aliwahi kuunga mkono wapinzani katka kutetea raslmali?. Hakuna kipya ndani ya kijani wote wapumbavu kupitiliza na ww mpumbavu Mara sabini
mafisadi wamehama ccm wameenda kujificha cdm mfano EL na sumaye
 
Hivi katika kipindi cha miaka55 mliyo kaa madarakani ulishawahi kusikia ufisadi alaf akahusishwa mpinzani????? Nadhani nimuda wakuweka SMG zenu pembeni ili tuanze kubishana kwa hoja
 
Back
Top Bottom