washenzi wale Maji madogo buku 2 iliniuma sanaLipo mkuu, kuna vituo unanua hivyo alivyovitaja au hata vocha, karanga ,biskuti, azam cola
Umeona eeh au unaziwa pepsi kumbe ni chai ya rangi isiyo hata na sukari..........washenzi wale Maji madogo buku 2 iliniuma sana

aime ayoe ba betri kabisaBut simu yake akumbuke kuiweka "FLIGHT MODE"
Hakuna kitu huwa kinanikera kama unavyoanza kutua Airport ya Dar yani ukitokea upande wa bahari mandhari nzuri zunguka sasa uone kutu za kutosha daaah shuka sasa majiji ya wenzetu utapenda .Na utakapo kua unatua angalia jinsi ma paa ya nyumba za dsm yalivochakaa,utazan mogadishu..serikal ijitahid kwakwel ndomana hawa makinikia wanatudharau
Ndo kitu gani hicho?Hedikopta umepanda?
nilitaka kumwambia kuwa Huduma za vyakula na vyakunywa ni buree ila nikaona aibu.Umeona eeh au unaziwa pepsi kumbe ni chai ya rangi isiyo hata na sukari..........![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Siti za dirishani durudani sana, hasa kwenye bombadier![]()
Umeona eeh au unaziwa pepsi kumbe ni chai ya rangi isiyo hata na sukari..........![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Siti za dirishani durudani sana, hasa kwenye bombadier![]()
Hata mate unaweza kutema na ukaona yalikododokeaSawa, swali la mwisho, nikiwa angani nikichungulia dirishani naona vitu vya chini kama miji, misitu nk au havionekani?
Na pia kuna makelele sjui niite sauti flani kama mruzi, huwa inasikika ndege inapokaribia kutua aisee mwanzo ilinisumbua sana. Hii huwa sauti ya nini maana mpaka masikio huwa yanaziba.Hakuna kitu huwa kinanikera kama unavyoanza kutua Airport ya Dar yani ukitokea upande wa bahari mandhari nzuri zunguka sasa uone kutu za kutosha daaah shuka sasa majiji ya wenzetu utapenda .
Do you wish to travel by plane and you don't know the starting point? L and I FLIGHTS is the good solution and easy way to accomplish your dream to all destination local and international ,how to get visa ,booking for the tickets,tours trip ,we are available all the time for more information feel free to contact us for any enquries .L AND I FLIGHTS FLY THE WORLD CHEAPLYHey , how are you ?
Jamani kitambo mno.
Wazima kabisa kipande hii . Vipi upande huo ?
Kwa kuunga ndege au hiyo fastjet moja kwa moja? Nauliza mkuuUkitaka u enjoy zaidi mkuu, Nenda hadi Bukoba. Laki nne na sitini tu Return. kwa route hii uta enjoy zaidi mandhari ya Ziwa Victoria na utafurahia zaidi utuaji/ na urukaji wa ndege katka airport ya Mwanza ukiwa unatoka/kuelekea Bukoba.
Safari njema mkuu.
Na wewe umekosea... Kuvunja rekodi ni kufikia rekodi ya mtu au kitu ya awali. Mfano, kama Rekodi ya mtu kulala mda mrefu zaidi ni saa 48 mfululizo,basi akitokea mwingine akalala hizo hizo au akalala saa 49 tayari amevunja rekodi.Sema unataka kuweka historia yako
Kuvunja rekodi ni pale unapofanya kitu hakijafanywa na mwingine
Wazee wa fursaDo you wish to travel by plane and you don't know the starting point? L and I FLIGHTS is the good solution and easy way to accomplish your dream to all destination local and international ,how to get visa ,booking for the tickets,tours trip ,we are available all the time for more information feel free to contact us for any enquries .L AND I FLIGHTS FLY THE WORLD CHEAPLY
Our contacts - +255-755752991 +255-719879191
EMAIL . info@landiflights.co.tz

Nilipokua ughaibun kwa mda mref,sasa siku ya kurud bongo,yaan nilivoshuka kuna hewa flan ya mvuke wa moto ilinipiga paaa,na kuna ki haruf flan hiv cha uozo,nkasema kwel africa ni yetu na ulaya ni ulaya tuu.yaan haruf flan hiv ya ajabHakuna kitu huwa kinanikera kama unavyoanza kutua Airport ya Dar yani ukitokea upande wa bahari mandhari nzuri zunguka sasa uone kutu za kutosha daaah shuka sasa majiji ya wenzetu utapenda .
Tupeane fursa kaka ukiitaji kusafiri ; tunatoa tiketiNilipokua ughaibun kwa mda mref,sasa siku ya kurud bongo,yaan nilivoshuka kuna hewa flan ya mvuke wa moto ilinipiga paaa,na kuna ki haruf flan hiv cha uozo,nkasema kwel africa ni yetu na ulaya ni ulaya tuu.yaan haruf flan hiv ya ajab
Babu una dhambiYeah... fungua dirisha uangalie mandhari huku ukijipiga selfie...




Kwenda New York ndio shs ngapi "jembe"?Kwa yeyote anaeitaji kusafiri kwa usafiri wa anga( ndege) anicheki inbox me ni air travel agency
Sio bure bali inakuwa included kwenye air fare . kwa flight za ndani Bombadier na precision wanafanya hivyo.nilitaka kumwambia kuwa Huduma za vyakula na vyakunywa ni buree ila nikaona aibu.
maana nasikia ndege za kwenda nje wanatoa vyakula bure sasa iweje fastjet waniuzie Maji? ndo maana walinizuia nisiingie na Maji yangu hili ninunue yao .siku hizi nishawajulia sinunue chochote