Sijawahi kupanda ndege

Sijawahi kupanda ndege

Umenikumbusha kanyimbo ka Prof Jay (Naitwa Sajenti: Kabyemela kwa niaba ya Jeshi la Polisi Nilikuwa naulizia helkopta zetu vipiiiiiii!!!!!! hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa)
 
Hivi lipo hilo jambo? Yani tangia dunia kuumbwa kwake, iwe wewe ndiye binadamu wa Kwanza kulifanya, jambo hilo lipo kweli?
Yapo mambo mengi tu! Wengine walifanya kidogo wewe unakuja kuzidisha pale walipokomea. Pia uvumbuzi wa vitu vipya bado unaendelea, dunia bado changa sana ukilinganisha na tulikotoka
 
Ukitaka u enjoy zaidi mkuu, Nenda hadi Bukoba. Laki nne na sitini tu Return. kwa route hii uta enjoy zaidi mandhari ya Ziwa Victoria na utafurahia zaidi utuaji/ na urukaji wa ndege katka airport ya Mwanza ukiwa unatoka/kuelekea Bukoba.

Safari njema mkuu.
 
ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.

Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.

Baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka Mwanza
Inaruhusiwa na kupokea na kupiga simu ukiwa ndani ya ndege ?
 
Back
Top Bottom