Sijawahi kupanda ndege

Sijawahi kupanda ndege

Nilishawahi kwenda mafia mara mbili na hivi vindege vidogo nilifika masikio yameziba sisikii kitu, bahati mbaya hii safari ya mwisho nilitakiwa nitoe mada kwenye taasisi flani, kufika natakiwa niende moja kwa moja ukumbini nikatoe mada maana watoa mada wengine walikuwa tayari nilikuwa nasubiriwa mm tu, aisee ilibidi niingie chooni kwanza nikawa nalazimisha miayo nakupanua mdomo nilirudia zoezi hilo kwa mida km dakika 10 hali ikawa afadhali.
Hio ni kwasababu ya pressure. Vindege vidogo havins pressurized cabin sasa rubani hatakiwi kuruka juu sana vinginevyo tofauti ya pressure itawazibua masikio. Ila marubani wengine wanaruka juu kubania mafuta ndio matokeo yake wanaumiza abiria masikio kwasababu ya pressure.

Ndege kubwa zina pressurized cabin ndio maana zinaruka hadi 30,000ft
 
Na wewe safari ya nusu saa au one hour unataka ule,unywe kisa umepanda ndege?

Budget airline nyingi wanauza refreshments.
wala sikutaka kula nilisikia tu kiu Maji madogo akaniuzia buku mbili wakati kwenye basi zile luxury Maji soda ni buree niliwaza tu coz it waz first time ahaaaa ila kwa sasa sinaga time nao
 
wala sikutaka kula nilisikia tu kiu Maji madogo akaniuzia buku mbili wakati kwenye basi zile luxury Maji soda ni buree niliwaza tu coz it waz first time ahaaaa ila kwa sasa sinaga time nao
Nakuzingua tu....
 
ha ha ha aha tafuta laki tatu na elfu 20 nenda kwa wakala wa kukata tiketi za ndenge waambie nataka return tiketi ya mwanza kwa fast jet watakupa tiketi ya kwenda na kurudi.

Siku ya safari wahi saa moja kabla ya safari pale airport ubebe na kitambulisho chako chochote ukiwa na kupigia kura itakua vizuri zaidi then zingatia muda watu wa ndege wako makini na muda sana.

Baada ya maelezo hayo nakutakia safari njema usisahau kubeba simu yenye kamera kwa ajili ya kujipiga selfie ukiwa angani wanaruhusu usihofu na ukumbuke kuludi na ndoo ya samaki toka Mwanza
Kumbe simpo tu
 
Aisee me pia sijavunja hiyo record....
ngoja nianze kuweka buku buku kwenye kibubu hadi zifike.

Daah parefuu!!!
 
Dah naziona zikipaaa tu nakusimuliwa ni watu washaopanda jaman tuombeen na sisi tupae kwa ndege.
 
Mkuu hujaleta mrejesho ulifanikisha au bado unazichanga
 
Selfie ruksa mixer ukitaka kufaidi ikishakaa sawa kule juu nenda hadi chooni ukajionee si unajua tena ushamba mzigo

Na asisahau kujisaidia angani asiogope kinyesi hakitaangukia watu vichwani , ajue kuwa hilo pia wanaruhusu pia.
 
Back
Top Bottom